Hivi wapenzi wa Arsenal niwaulize?
nani aliyetabiri mikosi ya majeruhi yaliyoikumba team yetu?
mwanzo wa ligi tulianza na Eduardo, Van Persie na Rosicky, hao ni katika safu ya ushambuliaji...
Kisha katikati ya ligi wakafuatia midfielder tegemeo Fabregas, na Theo Walcott.
huku mwishoni, defenders Gallas, na Clichy nao wameumia!... Kama ni experience (kiraka) alimsajili defender Mikael Silvestre,...
Midfield kuziba pengo la Fabregas kamsajili Arshavin,... kwenye safu ya ushambuliaji
hakumsajili yeyote kwa kutarajia Adebayor, na Bendtner wapo fit. Lakini ndio hivyo tena,...kwenye nafasi kumi, moja ndio wanaelekeza shuti golini!
Wenger halaumiki sana, washambuliaji 'butu' wamechangia!
Mbu, unachosema ni kweli kabisa kuhusu majeruhi na hao washambuliaji butu hakuna mwingine aliyewasaini bali ni Wenger. Sasa kama tutapata kipigo kingine cha 3 bila au zaidi May 16 katika mchezo na MANU, basi ujue fika kwamba sauti za kutaka Wenger asirudi msimu ujao zitazidi kuongezeka kwa kiasi kikubwa. Ikitokea tukishinda mechi hiyo, but it is very doubful, basi Wenger atakuwa amepunguza sauti za kutaka ajiuzulu. Let's wait and see, but in my opinion we need a new coach.
Hiyo issue ya majeruhi kila timu inapata majeruhi na sio Arsenal pekeeHivi wapenzi wa Arsenal niwaulize?