Wadau wa JF!
Leo nimejiuliza hv neno langu la kwanza kulitamka nikiwa mtoto mchanga/mdogo lilikuwa ni neno gani? Naombeni na nyie mjiulize, na wale wazazi naombeni mtuambie kama mnakumbuka neno la kwanza watoto walianza kuongea! Just curious!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.