Chama cha CUF kinatarajia kuanza ziara ya muda mrefu katika mikoa ya kanda ya ziwa kwa lengo la kuimarisha ngome zake kanda ya ziwa.Taarifa ya chama hicho inasema Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho Zanzibar Ismail Jussa ataongoza ziara hiyo akishirikiana na Naibu Katibu mkuu bara Julias Mtatiro.Ziara hiyo itaanza tarehe 22 Februari hadi 20 April.
title ilitakiwa isomeke hivi Jussa wa CUF kutalii kanda ya ziwa na sio kutikisa!
Kweli mkuu, kwao tu huko Uzini CUF mdebwedo. Kashindwa kutikisa kwao kwenye waislamu wengi na watu kiduchu, ataweza kanda ya ziwa?atatikisa?atatikiswa?eleweka mkuu maana huku bara,na aliishatanabaisha kwenye wabara cuf haina nguvu
Chama cha CUF kinatarajia kuanza ziara ya muda mrefu katika mikoa ya kanda ya ziwa kwa lengo la kuimarisha ngome zake kanda ya ziwa.Taarifa ya chama hicho inasema Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho Zanzibar Ismail Jussa ataongoza ziara hiyo akishirikiana na Naibu Katibu mkuu bara Julias Mtatiro.Ziara hiyo itaanza tarehe 22 Februari hadi 20 April.
My take: Inabidi Jussa aombe radhi kwa kauli yake kuwa CUF ilishindwa Uzini kwa sababu ya Wakristo wengi na Watanzania Bara wengi.Pia nadhani wanasiasa wanapaswa kuchunga sana kauli zao.