Wa Kwilondo
JF-Expert Member
- Sep 15, 2007
- 1,081
- 312
Mkuu soma thread ya Live on star tv juu ya huo mjadala uandike ujumbe wako utasomwa live!Hivi ukitaka kuchangia huu mjadala unafanyaje wadau nisaidieni.
Nahitaji kuchangia sasa hivi pamoja na kumumliza jusa.
Utayauliza haya maswali ya wadau au mbwembwe 2?
Noted and sorted out...ila tutawaalika JUMAPILI ijayo NCCR maageuziYahya huyo Mmbunge wa NCCR anateka mjadala wa CUF inatosha! Apewe siku yake!