Jussa Ismail na Doyo Hassan Doyo LIVE On Star TV

Alloo nawapa heko star tv, chochea hao ccm b mpaka watapke hyo sumu! Ak ya nan watajutia maamuzi ya kuamliwa na ccm A. Jusa kaa vzr, af ongea kwa nidhamu! Af uache madharau, watz sio wanafk wala ndumilakuwili. STOP!
 
Tunashukuru wanaJF wote mliochangia mjadala Maswali ambayo sikuyasoma ni kutokana na ufinyu wa mud a ila tutamuomba Jussa wayajibu hapa katika forum.

Asante kaka, kazi nzuri sana, next time Muhuza inabidi awe na bouncers pale studio2..lol
 
huyu shombeshombe la kiarabu Jusa mbona anashindwa kujibu hoja za msingi anaishia kuwashambulia akina Doyo
 
jussa anasema wakina doyo ndo walio kuwa wanamsumbua na kumbugudhi rwakatale hadi akahama chama. anasema wao ndo wamefanya chama kitetereke. Mia
 
Madaraka vs Pesa. Msipoweka sawa mambo haya mtafukuzana sana matokeo yake chama kukosa mvuto.
 
CHADEMA ndo tumaini tu limebakia kwa waTZ juu ya kutetea haki zao. Burian CUF msalimie ndg yenu ccm! R.I.P in peace!. Nawaomben CDM muwapokee na muwalee vzr hao yatima waloachwa, ongezeni bajeti ya kulea hawa watoto!
 
Kama Jussa hajui kuwa cuf bara imekufa,basi hafai kuwa kiongozi. Ina maana haoni hata hii trending down ya matokeo ya uchaguzi. Khaa!?
 
Milioni zanzibar 7 Miioni 30 Tanzania Bara.. Matumizi mbona mnatuchanganya..Matumizi kasema Jussa
 
Wadau tunaomba mtujuze yaliyojili hapo studio! Huku ughaibuni star tv hatuna access nayo.
 
hivi cuf ni chama cha zanzibar na waislam tu?mbona huku moshi na arusha hamna chama kama hicho?au wanaogopa wakristo?
 
huyu mtangazaji kairusha jamiiforums. kamwambia atampa password jussa ili aweze kujibu maswali waliyo muuliza jamiiforums kisha ataibadirisha tena. nasubili nione jussa atajibu nini hapa jamiiforums. Mia
 
eti jussa atatumia password ya yahya M.
kwa nini asitumie ya mtatiro ?waandishi wetu vilaza sana.
 
Milioni zanzibar 7 Miioni 30 Tanzania Bara.. Matumizi mbona mnatuchanganya..Matumizi kasema Jussa
Mkuu hii ni kila mwezi,uchaguzi mkuu kwa mujibu wa doyo,Lipumba alipewa milioni 70 na Maalim Alilamba milioni 500!
 
hivi cuf ni chama cha zanzibar na waislam tu?mbona huku moshi na arusha hamna chama kama hicho?au wanaogopa wakristo?

Umeishaanza kuleta udini wako. Ubongo wako kama wa sisimizi..

Kwa hiyo Zanzibar Chadema hakuna sababu kuu ni chama cha Kanisa?
 
Milioni zanzibar 7 Miioni 30 Tanzania Bara.. Matumizi mbona mnatuchanganya..Matumizi kasema Jussa

allocation ya matumizi kwa mwezi ni 7mil Zanzibar na 30mil Bara, sasa hapa utaona mapungufu kwa upana mkubwa sana, bara inatakribani watu 43mil na zanzibar 2mil huu mgawanyiko wa fedha za matumizi unamakosa makubwa sana, kama Znz wanapata 7mil basi Dar na Pwani wanastahili hiyo 30 mil, vipi kuhusu mikoa mingine..?
 
Jussa na genge lake haligusiki kabisa

chama kama taasisi sidhani kama ni kosa hata kidogo katibu mkuu wake asiguswe. yaelekea Seif tayari anamuandaa Jussa kumridhi ndio maana anamtetea hivyo

Ni vema Hamad rashid na kundi lake mjiondoe kabisa na kuwaachia jamaa chama chao
 
Back
Top Bottom