Ahmed Omar_
Senior Member
- Jul 17, 2012
- 128
- 195
Huyu Jussa kama anadhani ni kosa kwa Watanzania kuongea au kushirikiana na nchi ambazo zilikuwa ni koloni la Tanganyika basi hata yeye angekataa kwenda kusoma Uingereza kwenye elimu ya wakoloni.Hawa watu inabidi tuwacheke tu. Wako usingizini. Wanadhani bado propaganda na fitna za kijinga na kipumbavu kama hizi zitaisaidia CCM. La ajabu ni kwamba juzi tu wamemkaribisha kwa heshima zote Rais wa Ujerumani (nchi iliyokuwa ikiitawala Tanganyika) na katika fakhari kubwa za Marais wote walotawala Tanganyika kuanzia Julius Nyerere, Ali Hassan Mwinyi, Benjamin Mkapa hadi Jakaya Kikwete basi ni kutembelea Uingereza (nchi nyengine iloitawala Tanganyika) na kupiga picha na Malkia na Waziri Mkuu wake.
If you know the enemy and know yourself, you need not fear the result of a hundred battles. If you know yourself but not the enemy, for every victory gained you will also suffer a defeat. If you know neither the enemy nor yourself, you will succumb in every battle― Sun Tzu, The Art of WarJussa anasema bila Zanzibar kupata uraia wake, hati ya kusafiria, mambo ya nje, kiti Umoja wa Mataifa, Sarafu na benki kuu, Serikali tatu hazina tija wala faida yeyote kwa Wazanzibar.
Anasema madai ya msingi ya Wazanzibari ni kupatikana kwa mamlaka huru za Tanganyika na Zanzibar.
Huyu Jussa kama anadhani ni kosa kwa Watanzania kuongea au kushirikiana na nchi ambazo zilikuwa ni koloni la Tanganyika basi hata yeye angekataa kwenda kusoma Uingereza kwenye elimu ya wakoloni.
Kwa hiyo kwa vile Tanzania inashirikiana na nchi zilizokuwa koloni la Tanganyika basi na Zanzibar nayo anataka ishirikiane na nchi zilizokuwa koloni lake. This is absurd to say the least!
By the way, hizi hoja zake zimeishajibiwa kwenye Katiba Inayopendekezwa ambayo wananchi wako mbioni kwenda kuipigia kura.

Mkuu tunasubili utupe matokeo ya Sumbawanga sio kujishebedua huku na kuacha kutuambia wanachama wako yanayoendelea kuelekea uchaguzi mkuu.
Huyu Jussa kama anadhani ni kosa kwa Watanzania kuongea au kushirikiana na nchi ambazo zilikuwa ni koloni la Tanganyika basi hata yeye angekataa kwenda kusoma Uingereza kwenye elimu ya wakoloni.
Kwa hiyo kwa vile Tanzania inashirikiana na nchi zilizokuwa koloni la Tanganyika basi na Zanzibar nayo anataka ishirikiane na nchi zilizokuwa koloni lake. This is absurd to say the least!
By the way, hizi hoja zake zimeishajibiwa kwenye Katiba Inayopendekezwa ambayo wananchi wako mbioni kwenda kuipigia kura.
Lakini mliishaambiwa na pinda kuwa Zanzibar sio nchi ila ni sehemu TU ya jamhuri. MKIKAIDI MTAPIGWA TU!
Ndugu,Hujamwelewa Jussa.
Anacholaumu yeye ni Double standard.
By the way.....unaongelea vipi kauli ya Kikwete kuwashukuru sana Wajerumani kwa kututawala?
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Ras Al Khaimah katika Falme za nchi za Kiarabu UAE alipokutana nao wakati kiongozi wa Ras Al Kheimah Sheikh Saud Bin Saqr Al Qasmi alipomualika chakula cha mchana
==============================================================
Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad amesema ziara yake katika nchi za Falme za Kiarabu na Uholanzi italeta mapinduzi makubwa ya kiuchumi Zanzibar katika nyanja za maeneo huru ya kiuchumi, elimu, maji na ajira.
Akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kuwasili uwanja wa ndege Zanzibar, Maalim Seif alisema nchi hizo zimeonyesha nia ya kushirikiana na Zanzibar katika kuimarisha maeneo hayo muhimu ya kiucumi, ikiwemo kusaidia kuimarisha viwanda vya samaki.
Sikwenda Las Vegas kucheza kamari au kwenda kutalii, unapotarajia kupata mafanikio lazima utumie fedha, matarajio yangu ziara hii italeta mafanikio makubwa kwa wananchi wa Zanzibar, alisema Maalim Seif.
Maalim Seif alisema hayo baada ya kutakiwa kutoa mchanganuo wa matumizi ya ziara yake, kutokana na kujitokeza malalamiko mengi kutoka kwa wananchi kuwa ziara za viongozi nje ya nchi zimekuwa nyingi na kutumia kiwango kikubwa cha fedha za serikali.
Alisema kwamba katika nchi za Dubai, Oman na Qatar ameweza kukutana na viongozi pamoja na wafanyabiashara wakiwemo wenye asili ya Tanzania, ambao wameahidi kushirikiana bega kwa bega na Zanzibar kuimarisha sekta muhimu za uchumi na kuondoa shida za kijamii.
Alitoa mfano wa serikali ya Sharja katika falme za Kiarabu kuwa imeahidi kuisaidia Zanzibar katika mpango wa kujenga bandari huru pamoja na kuendeleza maeneo huru ya kiuchumi Unguja na Pemba, sekta ambayo ni muhimili mkuu katika uchumi wa visiwa.
Maalim Seif alisema serikali ya Zanzibar awamu ya saba ina nia ya dhati ya kuendeleza eneo hilo kwa vile ndilo litakalofungua milango ya biashara na kuinua uchumi wa visiwani ambao umedorora kwa muda mrefu.
Ndugu,Ungemwelewa Jussa kabla hujachangia kaka
Jussa anasema viongozi wanafiki hawa hapa Tanganyika waache unafiki.
Wao ndio wanaona nongwa Zanzibar kushirikiana na Oman ila kwao ni sawa kushirikiana na Uingereza na Ujerumani.Unafiki mtupu na double standard tu.Ubinafsi unaochochea spirit ya nationalism kule visiwani
Tumeamua kuwa wakoloni dhidi ya nchi huru ya Zanzibar
Kupiga kura si tatizo,rejea BOMAS draft ya Kenya .Akina Kibaki walivyoumbuka
Huyu Jussa kama anadhani ni kosa kwa Watanzania kuongea au kushirikiana na nchi ambazo zilikuwa ni koloni la Tanganyika basi hata yeye angekataa kwenda kusoma Uingereza kwenye elimu ya wakoloni.
Kwa hiyo kwa vile Tanzania inashirikiana na nchi zilizokuwa koloni la Tanganyika basi na Zanzibar nayo anataka ishirikiane na nchi zilizokuwa koloni lake. This is absurd to say the least!
By the way, hizi hoja zake zimeishajibiwa kwenye Katiba Inayopendekezwa ambayo wananchi wako mbioni kwenda kuipigia kura.
Hoja ya mleta uzi haina mashiko. La msingi ni kwamba Tanzania bado ni moja chini ya katiba tuliyo nayo, na masuala ya muungano yanaongozwa na taratibu za Jamhuri ya Muungano. Kikwete anapokwenda Uingereza, ama kumsifia Mjerumani, ama kwenda Oman, anafanza hivyo kwa niaba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Na katika ziara zake zote za nje huambatana na wawakilishi toka Zanzibar. Unafiki hapa uko wapi? Fanzeni hima mjikomboe, ndio muondokane na msiyo yapendelea!