Junior Economist | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Junior Economist

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Hercule Poirot, Jul 11, 2011.

 1. Hercule Poirot

  Hercule Poirot JF-Expert Member

  #1
  Jul 11, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 1,195
  Likes Received: 463
  Trophy Points: 180
  Wakuu habari! Kuna mdogo wangu wa kiume ana Degree ya Uchumi ila hajapata ajira, yuko tayari kufanya kazi/Mafunzo hapa DSM yanayoendana na tasnia yake ya economics hata bila ya malipo ili apate uzoefu . Wakuu mwenye hio nafasi naomba ani-pm au ani-sms 0682 551858. natanguliza shukran kwenu wana-jf
   
Loading...