Jumuiya za siri katika Uislamu wa Kishia

hamis77

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
18,250
Reaction score
26,640
Washia ni sect katika Uislamu iliyo smart, ni 20% tu kwa idadi ya Waislamu ambayo ni 1.8 bilioni duniani.

Asilimia kubwa ya wasuni sio wasomi, wana elimu ahera tu ambayo ndio wanaikazia hasa wakwetu huku. Michango yao imelengwa tu kujenga misikiti na madrasa. Siku hizi kidogo wameanza kujaribu.

Zingatia, wanaendeshwa na itikadi kali kuliko elimu. Wengi wao ni watu wa harara na uchungu, na kwasababu ya kukosa elimu ni warahisi sana kuchukuliwa na upepo hata kutumiwa. Mfano hapa kwetu tumeona tu wakiitwa kupewa sinia la ubwabwa wanakuja mbele za Camera kutetea mambo ya ovyo bila aibu huku wakiwa na jazba.

Kwenye Elimu Dunia ni WEUPE SANA ,nilimsikia moja ya Sheikh wa sunni baada ya kupewa ubwabwa amekuja mbele ya Camera anasema kwanini Vatican Ina ubalozi hapa Tanzania na Italy Ina ubalozi pia 😂

Hata ule ulimwengu mkubwa wa kisuni upo upande wa magharibi. Ni tegemezi. Wasuni wa kwetu huku ndio balaa tupu, hivyo sihitaji kuwaongelea aina hii ya wasuni hawa naam kama kina Mazinge, Sharifu fidausi,Sule,Mziwanda,Kinyogori, Ibrahim yule Mzee wa kukata vichwa,Mwaipopo nk, nimewataja hawa maana NAWAJUA vizuri elimu zao tu hakuna mwenye form 6.
Hawa wapo bize na mafuta ya upako, uchawa na maulidi.

Leo nitawaongelea wasuni kwelikweli yaani Saudia Arabia, UAE, Misri nk ambao ndio wameushika ulimwengu wa kisuni. Ulimwengu wa kisuni unawaona hao kama wasaliti hivi, maana wapo na Myahudi adui yao wa jadi. Lakini mshia ndio adui nambari moja mbele ya msuni, lakini sasa mshia amekuwa nguzo iliyobakia ambayo atleast inajaribu kupambana na magharibi na Wayahudi.

Sasa wasuni wasio na mwelekeo wamegeuka kuwa chawa wa Mashia hadi mashia wanastajaabu. Maana mshia ni kafiri mbele ya msuni. Jaribu kuingia kwenye page ya facebook ya Imam Hemed Jalala Mwakidenge, kiongozi wa jumuiya ya Washia Tanzania, utajionea moto mkali wa comments za Wasuni dhidi ya Washia.

Na masuni daima ni watu wa propoganda, waliijaza mitandao ya kijamii habari za kutosha kwamba Iran na Israeli wanafanya mchezo tu wa kuigiza kuelekea ile vita ya siku 12, Ila sasa wakajawa aibu baada ya kuona vita halisi. Wengine wakaa kimya na wengine wakaunga juhudi. ,

Ngoja nikuibie siri kidogo kuhusu Washia

Kama nilivyotangulia kusema, ni kwamba washia ni watu wa akili nyingi. ,sio ombaomba kama wasunni, ni matajiri ,mfano MO Dewji , Wametulia sana na sio wazee wa itikadi kali hata mijadala yao imeenda shule ingawa sio watu wa mijadala sana. Ukitaka kujua akili ya mshia, iangalie Iran, ingawa ina vikwazo lakini wameweza kuwekeza katika kujiundia silaha zao wenyewe (wasuni hawajaweza), Iran wameweza kusimama na kuendesha harakati za kijeshi ndani ya mashariki ya kati.

Nguvu yao kijeshi ni kubwa mbele ya wasuni. Na makundi yao yana msingi thabiti na uimara mfano ni Hezbollah, Houth ambao Saudia (msuni) alikimbia mbele yao. Zingatia nina linganisha kati ya Washia na Wasuni.

Chunguza mwenyewe, kuna kundi gani la Wasuni lililo imara kama Hezbollah? Utakutana tu na Boko Haramu, Alshababu, Alnusra, Isisi nk vikundi ambavyo havina mwelekeo zaidi ya kufanya uhalifu, kujitoa muhanga, kubaka wanawake na kupora mali.

Ngoja nikuambie, washia hawajaanza kuwa na makundi thabiti leo. Toka zama za karne 9 walikuwa na vikundi hatari kama: WAISMAILIA, WAKARMATITI, WAFATIMID NA WAASSASSIN.

Haya makundi yalikuwa ni moto wa kuotea mbali. Viongozi wa kisuni na Kikristo waliuawa na vikundi hivyo hasa kundi la Assassin. Assassin ni neno lililochakatwa na Waingereza kutoka katika neno Hashish (madawa ya kulevya).

Hivyo wao kwa uhalisi waliitwa 'Hashishiyin', sababu walitumia madawa ya kulevya kumuandaa askari wao, waliweza kuunda pepo yao ya siri duniani iliyo na picha ya pepo ya Allah kwajili ya kumwandaa askari mkakamavu asiyeogopa mauti. Walimpa kijana/askari mwandaliwa kilevi pasipo yeye kujua kwa njia ya kuvutishwa, na akiwa amelewa wanampeleka kwenye jumba zuri lenye mandhari ya kuvutia likiwa limejawa na urahin (warembo) wa kutosha waliovalia mavazi ya kuleta ashiki. Wine zikiwa zimejazwa kwenye mabarasi, hivyo askari kijana akizinduka anajikuta yupo kati ya mapaja ya wanawali, hivyo anavinjari akiambiwa ameletwa huko kimujiza kula raha za peponi kwa siku kadhaa. Baada ya hapo anapewa hashishi na kupoteza fahamu tena, akizinduka anajikuta jangwani. Anajawa uchungu, kisha grand master wake anampa misheni, kwa agizo kwamba akifanikisha atapewa zawadi za kutosha na hata kama akifa, atarudishwa peponi kula maraha na mahurain ,hapo ndipo unapata ile habari ya Mabikira 72 na mito ya pombe .

Hivyo mpambano wa hapo sio mchezo, na kifo kwake kinakuwa kama ni barabara ya kupata mema. Kundi hili lilisumbua sana dunia ya wakati ule. Na lilijizoelea utajiri wa kutosha kutoka kwa wafalme, viongozi wa dini na matajiri kwajili ya kuwatumia kwa malipo kuwaua maadui zao.

Wakawa na ngome huko Siria, Iraq na Iran. Hivyo leo neno Assasin limekuwa ni msamiati wa english wa mauaji ya viongozi au watu wenye dhamana, ni kwasababu ya kundi hilo la mauaji lililoitwa Hashashin. (Nitakuja kuwaelezea wakati mwingine kwa urefu).

Sio vizuri kuacha kuwazungumzia hata kidogo "WAKARMATITI" zingatia Waismailia, Wakarmatiti, Wafatimid wote walikuwa na digrii 7, lakini Wafatimid wakaziongeza na kuwa 9 ila Waassasin walizipunguza na kuwa 7. Hawa Wakarmati walifanikiwa kutawala sehemu kubwa ya Arabia na Eufrate, na katika 920 B.K walipanua uharibifu wao kuelekea magharibi. Waliumiliki mji wa Makka, na kulitwaa jiwe la Hajar aswaad na kulipeleka Barhein kwa miaka 23 (Allah sijui alikuwa wapi), na siku hiyo waliua mahujaji 30,000. ‘Kwa karne nzima,’ asema von Hammer, ‘mafundisho yenye kudhuru ya Karmath yalivuma kwa moto na upanga katika kifua chenyewe cha Uislamu, mpaka ule moto ulioenea sana ukazimwa kwa damu.’

Kwahiyo Hawa jamaa Wana historia ya kuiba lile jiwe jeusi kwa miaka 23 , na walilirudisha likiwa vipande vipande

Wafatimid ndio wajenzi wa chuo cha Dar ul Hikmat (nyumba ya hekima) au Grand Lodge of Cairo (sasa ni masoniki
wa Misri), na viongozi wakubwa na watawala wa Misri wanatokea humo.

Watemplers (Catholic knight) walivyokuja mashariki ya kati kwajili ya vita vya msalaba kwa agizo la papa Urban II mnamo 1096, walijifunza na kuchukua mengi kutoka kwenye vikundi hivyo. Nao wakawa kikundi chenye nguvu duniani (sasa ndio wamasonia wa sasa).

Hata Jesuits na Illuminat ilinyonya humo.

Claudio Jannet anasema, “Weishaupt, mwanzilishi wa Illuminati, alichukua miundo hiyo na kuanzisha udugu wa illuminat”.

Wafatima waliunda matabaka mawili wasomi na wajinga, hivyo wajinga ambao ni wengi walitawaliwa na kikundi cha wachache cha wasomi. Vikundi vyote kama Hezbollah na Hamas nk, vinaundwa kwa njia ama staili hii naam mfumo wa taifa la Iran pia umeundwa vivyo hivyo kwa mfano ule ule wa vikundi vya kishia vya kihistoria.

Kiongozi mkuu (supreme leader) wa Iran hana tofauti na Abdullah ibn Maymun, baba mwanzilishi wa kikundi cha Waismailia, kikundi cha kwanza cha Kishia mnamo 872 B.K. Huyo ndio sura ya uasisi wa makundi yote baada yake.

Goli lao naam la Washia ni kuitwaa Jerusalem na Maka kama walivyofanya zama za karne 10. Hivyo hawana kingine zaidi ya kupanua uwezo wao ili wafikie malengo yao.

Wasuni wajanja hawaungi mkono harakati hii, maana mwisho wake ni Ayatollah kukalia kiti cha enzi cha mashariki ya kati ambacho ni Yerusalem na Maka kama watafanikisha.

Sahivi Lebanon, sehemu kubwa ya Yemen, Siria na sehemu kubwa ya Iraq ipo katika mikono yao. Kama Washia wa Iran watafanikiwa kuua nguvu ya Wazayuni na kuwaondoa katika mashariki ya kati, basi hapo Wasuni wanaowashabikia sasa hawataambulia kitu. Ni kama kafiri kumtoa kafiri mwenzake katika utawala na kuchukua nafasi yake. Waswahili wanaita ni mchezo wa pata potea.

Leo niishie hapa
 
1. Kwanza: Biblia inakataza dharau na kujumlisha watu​

Biblia haisimami upande wa kudharau kundi zima la watu kwa misingi ya dini, elimu au tabaka.

“Msihukumu, msije mkahukumiwa.”
(Mathayo 7:1)

Kuliita kundi zima:
“halina elimu”
“ni ombaomba”
“ni watu wa jazba”

Huo si msimamo wa Kikristo, ni roho ya kiburi.

Biblia inasema:

“Kiburi hutangulia uangamivu.”
(Mithali 16:18)

2. Elimu na hekima: si ya dhehebu moja​

Biblia inafundisha wazi kuwa:

“Hekima hutoka kwa Bwana; kinywani mwake hutoka maarifa na ufahamu.”
(Mithali 2:6)

Hekima:
haimiliki dini , haimiliki taifa wala haimiliki madhehebu

Kusema “Washia ni werevu, Wasuni hawana akili” ni sawa na: Wayahudi wa Agano la Kale kuwadharau Mataifa au Mafarisayo kuwadharau watu wa kawaida

Yesu aliwakemea vikali:
“Ninyi Mafarisayo… mnajiona wenye haki mbele ya watu, lakini mioyo yenu imejaa unafiki.”
(Luka 16:15)

3. Nguvu za kijeshi si sawa na haki mbele za Mungu​

Biblia iko wazi kabisa:
“Si kwa nguvu wala kwa uwezo, bali kwa Roho yangu, asema Bwana.”
(Zekaria 4:6)
Kwa hiyo: Kuwa na makombora au Kuwa na makundi ya silaha au Kuwa na ushindi wa kijeshi hakuthibitishi kuwa upande fulani una haki ya Mungu

Hata katika Biblia:
Babeli ilikuwa na nguvu lakini Mungu aliihukumu
Ashuru ilikuwa na jeshi kubwa lakini Mungu aliangusha
Hata Roma ilikuwa dola kubwa lakini haikumaanisha ni ya haki

4. Historia ya mauaji na hila si sifa ya Mungu​

Biblia inasema wazi:

“Kwa sababu wote watumiao upanga, kwa upanga watapotea.”
(Mathayo 26:52)
Kwa hiyo:
Kujivunia vikundi vya mauaji au Kujivunia hila, sumu, madawa, mauaji ya viongozi au Kujivunia kutisha watu kwa jina la dini Hiyo ni roho ile ile Yesu aliyoikataa
Yesu hakujenga ufalme wake kwa: siri za giza au kwa mauaji au kwa ugaidi

Alisema:
“Ufalme wangu si wa dunia hii.”
(Yohana 18:36)

5. Yerusalemu na Maka: Mungu hachukuliwi kwa mabavu​

Biblia inafundisha kuwa maeneo matakatifu: hayamilikiwi kwa hila , hayatawaliwi kwa damu na hayachukuliwi kwa propaganda
“Bwana hapendezwi na dhabihu za damu, bali na haki na rehema.”
(Mika 6:6–8)

Kila anayetamani “kutwaa miji mitakatifu” kwa: fitna , mauaji au migawanyiko huwa anamfuata Kaisari, si Mungu

6. Mgawanyiko wa kidini ni kazi ya adui​

Biblia inasema:
“Kila ufalme uliogawanyika juu yake wenyewe hufanywa ukiwa.”
(Mathayo 12:25)

Mgawanyiko wa: Shia vs Sunni au Mashariki vs Magharibi au Waumini dhidi ya waumini unanufaisha nguvu za giza, si Mungu

Paulo aliwaonya Wakristo:

“Mnapokulaana na kung’an`g`ana, jihadharini msije mkaangamizana.”
(Wagalatia 5:15)

7. Hitimisho​

Kwa mtazamo wa Biblia: Elimu si sawa na dhehebu
Nguvu si sawa na haki
Historia ya damu si sawa na baraka
Kiburi si sawa na hekima
Chuki si sawa na ukweli

Yesu alifundisha:
“Heri wenye amani, maana hao wataitwa wana wa Mungu.”
(Mathayo 5:9)
Na pia:

“Mpende jirani yako kama nafsi yako.”
(Mathayo 22:39)

Zingatia, wanaendeshwa na itikadi kali kuliko elimu. Wengi wao ni watu wa harara na uchungu, na kwasababu ya kukosa elimu ni warahisi sana kuchukuliwa na upepo hata kutumiwa. Mfano hapa kwetu tumeona tu wakiitwa kupewa sinia la ubwabwa wanakuja mbele za Camera kutetea mambo ya ovyo bila aibu huku wakiwa na jazba
Hivi zile jazba huwa zinatokana na nini? Au za kuigiza?
 
Chunguza mwenyewe, kuna kundi gani la Wasuni lililo imara kama Hezbollah? Utakutana tu na Boko Haramu, Alshababu, Alnusra, Isisi nk vikundi ambavyo havina mwelekeo zaidi ya kufanya uhalifu, kujitoa muhanga, kubaka wanawake na kupora mali
Hivi vikundi huwekwa na watawala ku destabilise Nchi ili watawala wasipate upinzani kutoka kwa Wananchi wanaodai haki, utawala bora na amani ikiwemo matumizi sahihi ya rasilimali kwenye nchi zao
 
Washia ni sect katika Uislamu iliyo smart, ni 20% tu kwa idadi ya Waislamu ambayo ni 1.8 bilioni duniani.

Asilimia kubwa ya wasuni sio wasomi, wana elimu ahera tu ambayo ndio wanaikazia hasa wakwetu huku. Michango yao imelengwa tu kujenga misikiti na madrasa. Siku hizi kidogo wameanza kujaribu.

Zingatia, wanaendeshwa na itikadi kali kuliko elimu. Wengi wao ni watu wa harara na uchungu, na kwasababu ya kukosa elimu ni warahisi sana kuchukuliwa na upepo hata kutumiwa. Mfano hapa kwetu tumeona tu wakiitwa kupewa sinia la ubwabwa wanakuja mbele za Camera kutetea mambo ya ovyo bila aibu huku wakiwa na jazba.

Kwenye Elimu Dunia ni WEUPE SANA ,nilimsikia moja ya Sheikh wa sunni baada ya kupewa ubwabwa amekuja mbele ya Camera anasema kwanini Vatican Ina ubalozi hapa Tanzania na Italy Ina ubalozi pia 😂

Hata ule ulimwengu mkubwa wa kisuni upo upande wa magharibi. Ni tegemezi. Wasuni wa kwetu huku ndio balaa tupu, hivyo sihitaji kuwaongelea aina hii ya wasuni hawa naam kama kina Mazinge, Sharifu fidausi,Sule,Mziwanda,Kinyogori, Ibrahim yule Mzee wa kukata vichwa,Mwaipopo nk, nimewataja hawa maana NAWAJUA vizuri elimu zao tu hakuna mwenye form 6.
Hawa wapo bize na mafuta ya upako, uchawa na maulidi.

Leo nitawaongelea wasuni kwelikweli yaani Saudia Arabia, UAE, Misri nk ambao ndio wameushika ulimwengu wa kisuni. Ulimwengu wa kisuni unawaona hao kama wasaliti hivi, maana wapo na Myahudi adui yao wa jadi. Lakini mshia ndio adui nambari moja mbele ya msuni, lakini sasa mshia amekuwa nguzo iliyobakia ambayo atleast inajaribu kupambana na magharibi na Wayahudi.

Sasa wasuni wasio na mwelekeo wamegeuka kuwa chawa wa Mashia hadi mashia wanastajaabu. Maana mshia ni kafiri mbele ya msuni. Jaribu kuingia kwenye page ya facebook ya Imam Hemed Jalala Mwakidenge, kiongozi wa jumuiya ya Washia Tanzania, utajionea moto mkali wa comments za Wasuni dhidi ya Washia.

Na masuni daima ni watu wa propoganda, waliijaza mitandao ya kijamii habari za kutosha kwamba Iran na Israeli wanafanya mchezo tu wa kuigiza kuelekea ile vita ya siku 12, Ila sasa wakajawa aibu baada ya kuona vita halisi. Wengine wakaa kimya na wengine wakaunga juhudi. ,

Ngoja nikuibie siri kidogo kuhusu Washia

Kama nilivyotangulia kusema, ni kwamba washia ni watu wa akili nyingi. ,sio ombaomba kama wasunni, ni matajiri ,mfano MO Dewji , Wametulia sana na sio wazee wa itikadi kali hata mijadala yao imeenda shule ingawa sio watu wa mijadala sana. Ukitaka kujua akili ya mshia, iangalie Iran, ingawa ina vikwazo lakini wameweza kuwekeza katika kujiundia silaha zao wenyewe (wasuni hawajaweza), Iran wameweza kusimama na kuendesha harakati za kijeshi ndani ya mashariki ya kati.

Nguvu yao kijeshi ni kubwa mbele ya wasuni. Na makundi yao yana msingi thabiti na uimara mfano ni Hezbollah, Houth ambao Saudia (msuni) alikimbia mbele yao. Zingatia nina linganisha kati ya Washia na Wasuni.

Chunguza mwenyewe, kuna kundi gani la Wasuni lililo imara kama Hezbollah? Utakutana tu na Boko Haramu, Alshababu, Alnusra, Isisi nk vikundi ambavyo havina mwelekeo zaidi ya kufanya uhalifu, kujitoa muhanga, kubaka wanawake na kupora mali.

Ngoja nikuambie, washia hawajaanza kuwa na makundi thabiti leo. Toka zama za karne 9 walikuwa na vikundi hatari kama: WAISMAILIA, WAKARMATITI, WAFATIMID NA WAASSASSIN.

Haya makundi yalikuwa ni moto wa kuotea mbali. Viongozi wa kisuni na Kikristo waliuawa na vikundi hivyo hasa kundi la Assassin. Assassin ni neno lililochakatwa na Waingereza kutoka katika neno Hashish (madawa ya kulevya).

Hivyo wao kwa uhalisi waliitwa 'Hashishiyin', sababu walitumia madawa ya kulevya kumuandaa askari wao, waliweza kuunda pepo yao ya siri duniani iliyo na picha ya pepo ya Allah kwajili ya kumwandaa askari mkakamavu asiyeogopa mauti. Walimpa kijana/askari mwandaliwa kilevi pasipo yeye kujua kwa njia ya kuvutishwa, na akiwa amelewa wanampeleka kwenye jumba zuri lenye mandhari ya kuvutia likiwa limejawa na urahin (warembo) wa kutosha waliovalia mavazi ya kuleta ashiki. Wine zikiwa zimejazwa kwenye mabarasi, hivyo askari kijana akizinduka anajikuta yupo kati ya mapaja ya wanawali, hivyo anavinjari akiambiwa ameletwa huko kimujiza kula raha za peponi kwa siku kadhaa. Baada ya hapo anapewa hashishi na kupoteza fahamu tena, akizinduka anajikuta jangwani. Anajawa uchungu, kisha grand master wake anampa misheni, kwa agizo kwamba akifanikisha atapewa zawadi za kutosha na hata kama akifa, atarudishwa peponi kula maraha na mahurain ,hapo ndipo unapata ile habari ya Mabikira 72 na mito ya pombe .

Hivyo mpambano wa hapo sio mchezo, na kifo kwake kinakuwa kama ni barabara ya kupata mema. Kundi hili lilisumbua sana dunia ya wakati ule. Na lilijizoelea utajiri wa kutosha kutoka kwa wafalme, viongozi wa dini na matajiri kwajili ya kuwatumia kwa malipo kuwaua maadui zao.

Wakawa na ngome huko Siria, Iraq na Iran. Hivyo leo neno Assasin limekuwa ni msamiati wa english wa mauaji ya viongozi au watu wenye dhamana, ni kwasababu ya kundi hilo la mauaji lililoitwa Hashashin. (Nitakuja kuwaelezea wakati mwingine kwa urefu).

Sio vizuri kuacha kuwazungumzia hata kidogo "WAKARMATITI" zingatia Waismailia, Wakarmatiti, Wafatimid wote walikuwa na digrii 7, lakini Wafatimid wakaziongeza na kuwa 9 ila Waassasin walizipunguza na kuwa 7. Hawa Wakarmati walifanikiwa kutawala sehemu kubwa ya Arabia na Eufrate, na katika 920 B.K walipanua uharibifu wao kuelekea magharibi. Waliumiliki mji wa Makka, na kulitwaa jiwe la Hajar aswaad na kulipeleka Barhein kwa miaka 23 (Allah sijui alikuwa wapi), na siku hiyo waliua mahujaji 30,000. ‘Kwa karne nzima,’ asema von Hammer, ‘mafundisho yenye kudhuru ya Karmath yalivuma kwa moto na upanga katika kifua chenyewe cha Uislamu, mpaka ule moto ulioenea sana ukazimwa kwa damu.’

Kwahiyo Hawa jamaa Wana historia ya kuiba lile jiwe jeusi kwa miaka 23 , na walilirudisha likiwa vipande vipande

Wafatimid ndio wajenzi wa chuo cha Dar ul Hikmat (nyumba ya hekima) au Grand Lodge of Cairo (sasa ni masoniki
wa Misri), na viongozi wakubwa na watawala wa Misri wanatokea humo.

Watemplers (Catholic knight) walivyokuja mashariki ya kati kwajili ya vita vya msalaba kwa agizo la papa Urban II mnamo 1096, walijifunza na kuchukua mengi kutoka kwenye vikundi hivyo. Nao wakawa kikundi chenye nguvu duniani (sasa ndio wamasonia wa sasa).

Hata Jesuits na Illuminat ilinyonya humo.

Claudio Jannet anasema, “Weishaupt, mwanzilishi wa Illuminati, alichukua miundo hiyo na kuanzisha udugu wa illuminat”.

Wafatima waliunda matabaka mawili wasomi na wajinga, hivyo wajinga ambao ni wengi walitawaliwa na kikundi cha wachache cha wasomi. Vikundi vyote kama Hezbollah na Hamas nk, vinaundwa kwa njia ama staili hii naam mfumo wa taifa la Iran pia umeundwa vivyo hivyo kwa mfano ule ule wa vikundi vya kishia vya kihistoria.

Kiongozi mkuu (supreme leader) wa Iran hana tofauti na Abdullah ibn Maymun, baba mwanzilishi wa kikundi cha Waismailia, kikundi cha kwanza cha Kishia mnamo 872 B.K. Huyo ndio sura ya uasisi wa makundi yote baada yake.

Goli lao naam la Washia ni kuitwaa Jerusalem na Maka kama walivyofanya zama za karne 10. Hivyo hawana kingine zaidi ya kupanua uwezo wao ili wafikie malengo yao.

Wasuni wajanja hawaungi mkono harakati hii, maana mwisho wake ni Ayatollah kukalia kiti cha enzi cha mashariki ya kati ambacho ni Yerusalem na Maka kama watafanikisha.

Sahivi Lebanon, sehemu kubwa ya Yemen, Siria na sehemu kubwa ya Iraq ipo katika mikono yao. Kama Washia wa Iran watafanikiwa kuua nguvu ya Wazayuni na kuwaondoa katika mashariki ya kati, basi hapo Wasuni wanaowashabikia sasa hawataambulia kitu. Ni kama kafiri kumtoa kafiri mwenzake katika utawala na kuchukua nafasi yake. Waswahili wanaita ni mchezo wa pata potea.

Leo niishie hapa
Andiko limeshiba
 
Back
Top Bottom