Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 2,436
- 5,233
Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania imempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuonesha ukomavu wa kisiasa, huku ikimuomba kwa heshima asamehe kauli za matusi na udhalilishaji zinazotolewa na baadhi ya vijana kutoka nchini Kenya kupitia mitandao ya kijamii.
Akizungumza jijini Dodoma, Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo Taifa, Sheikh Alhad Mussa Salum, amesema licha ya lugha zisizofaa zinazomlenga Rais Dkt. Samia, bado wanaamini msamaha ndio msingi wa kudumisha undugu na ujirani mwema kati ya mataifa hayo mawili.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Sheikh Alhad ametoa wito kwa viongozi wa dini nchini Kenya kushirikiana na Jumuiya hiyo katika kuwaelimisha na kuwaongoza vijana wa mataifa yao kuheshimiana, kuepuka lugha chafu, na kudumisha uhusiano mwema uliojengwa kwa misingi ya ujirani na undugu kwa muda mrefu.