Jumong ndo the best kwangu

Jumong ndo the best kwangu

MOvie za true story huwa nazipenda, hasq za kale.

Jumong, spartacus, ertugrul na nyingine jamii ya hizo zimenikosha saana.
 
Inategemeana na mtu anavyoona hata unazopenda wewe wapo watakosema kwa ajili ya watoto na wakina Mama tu.
Mwanzo nilipokutana nayo online nilipagawa nilipoona cover la series majamaa wameshika mapanga.

Nikadhani hapa kama sio mambo ya flying sword basi Samurai au Yakuza.

Nikajua wako serious

Scene ya vita ikafika sijui gogoryuo na nchi gani hata sikumbuki freshi, basi nimesizi nione action za mwamba aliyenishawishi kwenye Cover la picha.

Nakuta wanaruka ruka ru kama wanacheza amapiano yenye mdundo wa singeli.

Nikasema hizi action mbona hata July Tax kwenye ile movie ya Mtemi niliziona.
 
Mtu ambaye kwenye muvi anatafuta kupigana pigana na sio contents basi huyo ni shabiki hoya hoya hana tofauti na dunduka , watu smart kitu cha kwanza stori na madini yanayopatikana na mpangilio wa visa actions ni kitu cha ziada.Mfano nyingine Jang yeong Sil kaigiza jamaa huyo huyo haina mkono kabisa lakini stori ni kali sana inahusu sayansi ya kale wameigiza kijijini wanavaa mashuka .

Upiganaji wao kama haujazoea utaona makosa tu kama hapo.
 
Attachments

Mkuu ile scene ya haemosu (biological father was jumong)
Alivyokinukisha kwenye lile tamasha ilikua episode ya kwanza
Au nikuulize in general scene za mzee haemosu uliziona vizuri?
 
Hakuna picha kama Jumong wewe picha bora ya wakati wote
Mbona kama unalazimisha wote waamini unachoamini wewe? Unadhani wote ime-catch feelings zetu kama ambavyo kwako imekuwa? Jizungumzie wewe inatosha, acha kukosoa maoni ya watu kwa mitazamo yako. In short ni nzuri lakini kwangu sio best
 
Mtu ambaye kwenye muvi anatafuta kupigana pigana na sio contents basi huyo ni shabiki hoya hoya hana tofauti na dunduka , watu smart kitu cha kwanza stori na madini yanayopatikana na mpangilio wa visa actions ni kitu cha ziada.Mfano nyingine Jang yeong Sil kaigiza jamaa huyo huyo haina mkono kabisa lakini stori ni kali sana inahusu sayansi ya kale wameigiza kijijini wanavaa mashuka .

Upiganaji wao kama haujazoea utaona makosa tu kama hapo.
Category ya series ina vipengele vingi, action, love, historical nk.

Mimi sikuvutiwa na stori kwasababu kama ni story huwa napenda unpredictable events.

Sasa series yenu hiki kitu hakikuwepo.

Hivyo nikaweka hope kwenye action, nako huku ni chupli tu.
 
Ukisikia shoka liliungua na mpini ukabakia ndio hapa
 
Mkuu ile scene ya haemosu (biological father was jumong)
Alivyokinukisha kwenye lile tamasha ilikua episode ya kwanza
Au nikuulize in general scene za mzee haemosu uliziona vizuri?
Haemosu ndio nani mzee?

Hii niliangalia 2009 na siluweza kuimaliza yote
 
Maybe ulianza Kati au episode za mbele

Ila ubora wa jumong was best, coz umepiga angles kote kwa ubora Sana; politically, economically, socially
Combating
Egos za Nchi na Nchi, between relatives

Mwisho was siku kila mtu anakua na taste na preference yake kwenye hizi series
Mwingine jumong ni namba mmoja
Mwingine hiyo hiyo jumong ata top 20 haiweki
 
Category ya series ina vipengele vingi, action, love, historical nk.

Mimi sikuvutiwa na stori kwasababu kama ni story huwa napenda unpredictable events.

Sasa series yenu hiki kitu hakikuwepo.

Hivyo nikaweka hope kwenye action, nako huku ni chupli tu.
Ndio series ambayo imefit kila idara pamoja na unpredictable events za kutosha ndio maana imeongozwa kwa kurudiwa ilianza ITV ilivyoisha ikarudiwa Capital TV na mwaka 2022 ikarudiwa tena ITV sababu watu wengi wanaiona kama mpya japo wameiyona sijasahua mwaka huu MBC waliirudia Live youtube nako watu kibao wakawa wanacheki live kwa idadi kubwa kama kigongo kipya vile .Halafu wewe mla mihogo unasema hamna kitu ?

Anyway hakuna kitu ninachopenda na wote siku zote lazima upinzani utokee.Kingine ni kitu kukizingatia mimi Jang yeong Sil niliwahi kucheki mpaka episode ya 4 nakiona series mbovu sana kuna mdau jukwaa la Korean drama akanisihi nicheki tena kwamba ni kali mimi nikasisistiza kuwa ni utopolo siwezi kucheki tena ,lakini nilivyoamua kutulia na kuanzia tena kwa makini mpaka leo ni nahesabu moja Kati ya kazi bora.
 
Wapenzi wa siries,
Katika kufuatilia kwangu siries hakuna na sijaona yenye stori nzuri kama jumong, si game of throne,
Breaking bad
Giant
24
Iris wala walking dead ambazo zimekuwa zinasifiwa sana hapa jukwaani, japo hii ya jumong ni ya kitambo lakini inastori ya kueleweka kuliko hizi zinazosifiwa hapa, washiriki kama
Hae musal
Geum wa
Jumong
Yeo ta bal
Lady yeum wa
Mo pal mo
Sosiono na marafiki zake na jumong ambao walikua kitaa na baadae kuwa watu muhimu baada ya jumong kuwa mfalme walinivutia sana.

Sijaona nzuri kama jumong kweli
Mimi GOT,
Jumong
Spartacus
Slave hunter
 
Maybe ulianza Kati au episode za mbele

Ila ubora wa jumong was best, coz umepiga angles kote kwa ubora Sana; politically, economically, socially
Combating
Egos za Nchi na Nchi, between relatives

Mwisho was siku kila mtu anakua na taste na preference yake kwenye hizi series
Mwingine jumong ni namba mmoja
Mwingine hiyo hiyo jumong ata top 20 haiweki
Hakuna series ambayo stori yake imebalance vitu vingi kama Jumong ,nikipata wasaa nitaweka uzi maalaumu wa chambuzi katika angle mbalimbali ,ndio maana imeongozwa kurudiwa sehemu mbalimbali na kila mtu anakuambia kila akirudia anaona kama mpya .

Angekuwa director mbovu angemaliza mapema mno ,hata conservations zao mule zimeenda shule kama walikuwa wanasoma hakuna kuongea vitu ambavyo vinatoka nje ya mstari na mambo ya hovyo.
 
Baba na mwalimu wa Jumong huyu ni hatari nanusu
Napenda ile scene ambapo walikuwa hawajajua kama ni wa moto so wanashindana mara mzee akafunga kitambaa bila kuona akaanza kukenga shabaha watu macho yakawatoka
 
Mimi safari ya kuelekea mlima Gosan kusaka chimbo ya mlimani na vita ya Jim-beon na Yim-doon ambayo Jumong alifanyiwa figusu kidogo auwawe taarifa zikazagaa kwamba amekufa .Ile vita mpaka kupiganwa kulikuwa na Siasa na njama kali sana .Na matokeo ya ile vita yakawa mwanzo wa phase mpya ya maisha ya Jumong.
 
Chuno (Slave Hunters) hii picha ilichezwa ase🙌🏾
 
Mimi safari ya kuelekea mlima Gosan kusaka chimbo ya mlimani na vita ya Jim-beon na Yim-doon ambayo Jumong alifanyiwa figusu kidogo auwawe taarifa zikazagaa kwamba amekufa .Ile vita mpaka kupiganwa kulikuwa na Siasa na njama kali sana .Na matokeo ya ile vita yakawa mwanzo wa phase mpya ya maisha ya Jumong.
Ile yah inasisimua. Hii series nikipata muda ntairudia maana nlianziaga katikati ITV na sijawahi kuianzia mwanzo miaka hiyo nikaja iendeleza chuo. Sema ilitokea kuwa my favorite wakati huo hadi nilipokuja kuona GOT ndipo ikawa ya pili.
Theme number 7 ndio my best OST huwa naisikiliza walau hata mara moja kila week. Mimi napenda ost na ndizo nilizo nazo kwenye simu kuliko miziki
 
Maybe ulianza Kati au episode za mbele

Ila ubora wa jumong was best, coz umepiga angles kote kwa ubora Sana; politically, economically, socially
Combating
Egos za Nchi na Nchi, between relatives

Mwisho was siku kila mtu anakua na taste na preference yake kwenye hizi series
Mwingine jumong ni namba mmoja
Mwingine hiyo hiyo jumong ata top 20 haiweki
Yaani ile series kiukweli linishinda naiona kama ipo overrated tu kama breaking Bad
 
Ndio series ambayo imefit kila idara pamoja na unpredictable events za kutosha ndio maana imeongozwa kwa kurudiwa ilianza ITV ilivyoisha ikarudiwa Capital TV na mwaka 2022 ikarudiwa tena ITV sababu watu wengi wanaiona kama mpya japo wameiyona sijasahua mwaka huu MBC waliirudia Live youtube nako watu kibao wakawa wanacheki live kwa idadi kubwa kama kigongo kipya vile .Halafu wewe mla mihogo unasema hamna kitu ?

Anyway hakuna kitu ninachopenda na wote siku zote lazima upinzani utokee.Kingine ni kitu kukizingatia mimi Jang yeong Sil niliwahi kucheki mpaka episode ya 4 nakiona series mbovu sana kuna mdau jukwaa la Korean drama akanisihi nicheki tena kwamba ni kali mimi nikasisistiza kuwa ni utopolo siwezi kucheki tena ,lakini nilivyoamua kutulia na kuanzia tena kwa makini mpaka leo ni nahesabu moja Kati ya kazi bora.
Aah we unaipigia promo kama dalali ila mimi kiukweli ile series ilinishinda.

Ile miaka ambayo Jumong ana kiki mimi nilikuwa nakesha na Merlin, ile ndio series ambayo nilikuwa naielewa.

Kwa Korea ukiachana na ile Iris, Innocent Defendant na Squid Game basi sidhani kama kuna nyingine ambayo niliwahi kuikubali.
 
Back
Top Bottom