Jumong ndo the best kwangu

Jumong ndo the best kwangu

Bora ya muda wote ,ni series pekee ambayo kila ukirudia unaona mpya kama haujaiona kabisa .

Wahusika wamefit vizuri husika wao pamoja na mpangilio mzuri wa matukio na visa kwa ufanisi mkubwa.
Ipi hiyo
 
Washkaji oi ,Mari na hypoo hatari sana aisee, Kuna yule prime Minister ila yote kwa yote Mopalmo ndio best kwangu
 
images (10).jpeg.jpg
 
Sijaona nzuri kama jumong kweli
Hayo yanaitwa mahaba ,shida ni pale unapolazimisha mtazamo wako uwe sahihi au usiwe sahihi ndipo watu wengi hukosea!!!!!!!!!!!

Stori na mazingira ya Jumong ni tofauti na stori ya Prison Break, 24, Iris n.k . Unaposema Jumong ni bora kuliko fulani lazima tukushangae na nitakuona kichaa zaidi ukilazimisha watu wote tufuate mtazamo wako!!!!!!!!!
 
Washkaji oi ,Mari na hypoo hatari sana aisee, Kuna yule prime Minister ila yote kwa yote Mopalmo ndio best kwangu
Tag liliongezaka kabila la Waguk walipojiunga kukawa na ongezeko la Mugol(Mugol) ,Muk-guh na Jaesa hapo ilikuwa hatari sana hao watu acha mbali pale alipoongezeka mtaalamu Bubuno na Mzee wa Vishoka General Bwi-Yeom kutoka Okjo.

Hiyo list ya ongezeko ya Mageneral plus wakina Oi ilikuwa watu 7 kama buku.
images (13).jpeg.jpg
 
Wapenzi wa siries,
Katika kufuatilia kwangu siries hakuna na sijaona yenye stori nzuri kama jumong, si game of throne,
Breaking bad
Giant
24
Iris wala walking dead ambazo zimekuwa zinasifiwa sana hapa jukwaani, japo hii ya jumong ni ya kitambo lakini inastori ya kueleweka kuliko hizi zinazosifiwa hapa, washiriki kama
Hae musal
Geum wa
Jumong
Yeo ta bal
Lady yeum wa
Mo pal mo
Sosiono na marafiki zake na jumong ambao walikua kitaa na baadae kuwa watu muhimu baada ya jumong kuwa mfalme walinivutia sana.

Sijaona nzuri kama jumong kweli
Ntashangaa sana kama utalazimisha watu wote waipende hiyo movie yako kama ww unavyoipenda. Tunajisahau miziki movie na wanawake nni vitu vya kupenda hivyo unapoona kibaya mwenzako anakiona kizuri kuliko yote na ukisema jumong ni picha kali basi hiyo ni kwako maana hata kwenye rank za series kali nahisi ishadrop sana
 
Washkaji oi ,Mari na hypoo hatari sana aisee, Kuna yule prime Minister ila yote kwa yote Mopalmo ndio best kwangu
Eee, yani hao washkaji walinibamba mno, eti mtu anakuja anasema walking dead, breaking bad na game of throne ni bora zaidi, stori hazieleweki kabisa.
 
Hayo yanaitwa mahaba ,shida ni pale unapolazimisha mtazamo wako uwe sahihi au usiwe sahihi ndipo watu wengi hukosea!!!!!!!!!!!

Stori na mazingira ya Jumong ni tofauti na stori ya Prison Break, 24, Iris n.k . Unaposema Jumong ni bora kuliko fulani lazima tukushangae na nitakuona kichaa zaidi ukilazimisha watu wote tufuate mtazamo wako!!!!!!!!!
sawa nione kichaa tu, ila sitokubali unilazimishe eti prison break, iris ama 24 ni bora kuliko jumong, nitakuona kichaa +
 
ila sitokubali unilazimishe
Samahani , kuna sehemu umeona kama umelazimishwa??? Unataka kujifunza au kubishana??? Kuna vitu unaonekana ulikuwa uvifahamu na nimejaribu kukuelekeza na kukuelimisha. Au wewe unahisi unajua kila kitu kuhusu filamu na maigizo???
 
Unanielimisha nini sasa? nimesema kwangu jumong inastori bora zaidi, ebu niache kidogo.
 
Wapenzi wa siries,
Katika kufuatilia kwangu siries hakuna na sijaona yenye stori nzuri kama jumong, si game of throne,
Breaking bad
Giant
24
Iris wala walking dead ambazo zimekuwa zinasifiwa sana hapa jukwaani, japo hii ya jumong ni ya kitambo lakini inastori ya kueleweka kuliko hizi zinazosifiwa hapa, washiriki kama
Hae musal
Geum wa
Jumong
Yeo ta bal
Lady yeum wa
Mo pal mo
Sosiono na marafiki zake na jumong ambao walikua kitaa na baadae kuwa watu muhimu baada ya jumong kuwa mfalme walinivutia sana.

Sijaona nzuri kama jumong kweli
Mm kwangu WURA ndo the best series.
 
Back
Top Bottom