Mhandisi Mzalendo
JF-Expert Member
- Aug 23, 2010
- 7,234
- 12,813
Kila siku ni TISS tu ina maana tanzania tuna idara moja tu ya usalama??? Hivi hawa wakizidiwa inteligensia nani anawa back up??
Kuna idara ngapi???
Hivi idara gani ina utaalamu wa mambo ya teknolojia???
Kwa marekani unaweza kusikia vitu kama CIA, FBI, secret service, Jeshi la maji special force hawa ndio mwisho wa tatzo!!!
Je bongo kukoje??