Mwl.RCT
Platinum Member
- Apr 5, 2009
- 15,706
- 22,587
Kwa mfumo wa jumia ulivyo, matapeli hawana nafasi. Orders zote wanazisimamia wao wenyewe.Ila cha msingi usilipie inawezekana ni matapeli wengine wamejiingiza
Siunajua wajanja wengi ukiongeza na mambo ya internet