Jumba linauzwa bei powa

Akiri

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2010
Posts
1,445
Reaction score
217
NYUMBA INA SIFA ZIFUATAZO
  • Kiwanja kimepimwa sqm 1092 kina offer
  • Vyumba 4 vya kulala 1 master
  • Juu gypsum
  • chini cement ya kawaida
  • ina store, jiko , sehemu ya kula chakula.
  • imezungushiwa ukuta mkubwa, umeme upo .

haina tiles, geti kubwa , haijawekwa zege hapo nje ( jamvi )

Ipo mbagara maji matitu, tuwasiliane 0657 145555 , 0755 099 291 & 0686 200 117
inauzwa 85m.
View attachment 69367
 
hujaeleza iko mkoa gani,au wilaya gani na mtaa gani
tueleze plz mkuu
 
hujaeleza iko mkoa gani,au wilaya gani na mtaa gani
tueleze plz mkuu

wewe sio Mtanzania? Haiyumkiniki huifahamu Mbagala, imeimbwa na mwanamuziki wa Bongo flavor, na juzi tu imeingia kwenye ramani ya dunia baada ya baadhi ya Waislamu kuvamia na kuharibu Makanisa.

Huyo mleta bandiko anasema 85 milion ni bei poa!!??
Nyumba yenyewe iko Mbagala! Jamani, tuwe tunajifikiria mara mbili mbili kabla ya kutamka bei.
 
mbona mkali sana dadaangu
wewe lazima utakuwa mwanauamsho
mwalimu mzuri ni yule anayemuelekeza mtu
sio kubwatuka kama hujanunuliwa nguo za idd[
QUOTE=Wimana;4905232]wewe sio Mtanzania? Haiyumkiniki huifahamu Mbagala, imeimbwa na mwanamuziki wa Bongo flavor, na juzi tu imeingia kwenye ramani ya dunia baada ya baadhi ya Waislamu kuvamia na kuharibu Makanisa.

Huyo mleta bandiko anasema 85 milion ni bei poa!!??
Nyumba yenyewe iko Mbagala! Jamani, tuwe tunajifikiria mara mbili mbili kabla ya kutamka bei.[/QUOTE]
 
WImana hebu kuwa kidogo.....hiyo nyumba bei yake ni chini kulinganisha na 85m....Naamini anayesema 85 m ni bei ghali hajui gharama za ujenzi.......Numba nzuri mkuu
 
Dah nyumba ya ukweli kwa hiyo bei ni sawa na buure wangekuwa wengine wangeuza 200 milioni hata kama ingekuwa Mabwepande
 

binafsi naona uyu yupo fair. hasa ukiangalia bei za nssf za m 100+ na pia za wauzaji wengine humu jamvini
https://www.jamiiforums.com/matangazo-madogo/344745-kiwanja-heka-2-kinauzwa-tabata-tsh-950-mil.html#post4905146

huyu anauza kiwanja kipo tabata kwa 950m akat unaweza kununua state of the art one storey house mbez beach kwa 400m
 

Mkuu Nyumba imetulia ile mbayaa... kwann inauza???
 
Kitu kimetulia sana hiki hata kama kiko Mambwe
 
Ni umbali gani toka wanapoishi wahuni waliochoma makanisa? Inapendekeza ingawa hili la wahuni linaitia kasoro.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…