Msani mahiri wa bongo flava Jux leo amepost mjengo kwenye account yake ya instagram na kuandika amekamilisha ndogo yake kubwa ya utoto hii inamaanisha sanaa ya muziki inafaidisha sana wasanii wanaojituma. Karibu tuchangie maoni.
Akuna lolote...
Safari zake za china kila siku,anatafuta nini kule...!!???
Naunga mkono hoja, itakua sembe tu iyo akwende zake..
Nyimbo zenyewe zinafungiwa na BASATA (uzuri wako)
Jux big up...wakojoe wakalale..watu walifikiria domo ndio mwenye mjengo wa maana...mnamkumbuka MIMS alitoka na hit song moja tu this is why i'm hot...mliona mjengo wake kwenye mtv cribs...
jamani kujenga akili ya mtu iwe katoa nyimbo moja au album sita au muuza ngada
kuna watu wana vipato vikubwa vya halali tena but they own nothing wanaona fakhari kushow off magari kila toleo na starehe za kijinga
jiulize we kwa kipato chako una mafanikio gani
kuna watu walinzi tu wanamiliki nyumba ila anaelindwa mpangaji