Simple and Clear.... HAWEZI! Kwanza, kwa hilo eneo, thamani kiwanja cha kujenga nyumba kama hiyo peke yake unatoa mijumba huku mitaani kwetu! Naona watu wanafanya masihara... Dar es salaam suala la thamani za nyumba yaani ni ushetani mtupu!Pesa anayouza ni ndogo kulingana na nyumba na location iliko, sina uhakika kama ataweza kujenga nyingine kwenye hilo eneo kwa hiyo pesa