View attachment 441522 View attachment 441523 View attachment 441525
Ujenzi wake umefikia asilimia 75 (%). Lipo mashallah! Lina vyumba vinne vya kulala vyote vina vyoo na mabufu yake
NA chumba kikubwa au masta chenyewe kina ile kitu inaitwa “walk in closet” yaani kuna chumba kidogo cha makabati na choo na bafu pamoja na sehemu ya Jacuz..kuna jiko na stoo, sebure kuwa na sehemu ya kulia chakula…juu ya nyumba kuna kibaraza kikubwa… na ukiwa hapo unaitazama bahari ya Hindi na kuhusikilizia upepo wake. Pia kuna chumba maalum kwa ajili ya kusomea na TV.
Uzuri mwingine wa nyumba hii imejengwa vizuri kiasi kwamba mwangaza wa jua na hewa vinaingia, pia kiwanja chake kina ukubwa wa 1900 mita za mraba na kina hati miliki.
Kiwanja kipo katika maeneo yaliyopimwa na kupangiliwa
no Squatters
Bei tshs 400mil. Maelewano yapo. Mawasiliano kwa njia ya sms au kupiga 0755312233 na 0784225000 kwa whatsapp au email:
info@kitomai.com