Jumba la gorofa linauzwa Bunju

Jumba la gorofa linauzwa Bunju

Kitomai

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2009
Posts
1,098
Reaction score
324
IMG_3430.JPG
IMG_3438.JPG
IMG_3443.JPG

Ujenzi wake umefikia asilimia 75 (%). Lipo mashallah! Lina vyumba vinne vya kulala vyote vina vyoo na mabufu yake NA chumba kikubwa au masta chenyewe kina ile kitu inaitwa “walk in closet” yaani kuna chumba kidogo cha makabati na choo na bafu pamoja na sehemu ya Jacuz..kuna jiko na stoo, sebure kuwa na sehemu ya kulia chakula…juu ya nyumba kuna kibaraza kikubwa… na ukiwa hapo unaitazama bahari ya Hindi na kuhusikilizia upepo wake. Pia kuna chumba maalum kwa ajili ya kusomea na TV.

Uzuri mwingine wa nyumba hii imejengwa vizuri kiasi kwamba mwangaza wa jua na hewa vinaingia, pia kiwanja chake kina ukubwa wa 1900 mita za mraba na kina hati miliki.
Kiwanja kipo katika maeneo yaliyopimwa na kupangiliwa no Squatters

Bei tshs 400mil. Maelewano yapo. Mawasiliano kwa njia ya sms au kupiga 0755312233 na 0784225000 kwa whatsapp au email: info@kitomai.com
 
Attachments

  • IMG_3440.JPG
    IMG_3440.JPG
    27.9 KB · Views: 228
  • IMG_3444.JPG
    IMG_3444.JPG
    20.2 KB · Views: 191
Hao watu waliopo JF nyuma yao kuna watu wengi sanaa.... ndio maana wakati myingine huwa natoa Tangazo kama hili hapa chini...

''TUUNGANISHE NA RAFIKI YAKO UTENGENEZE MAPENE $$$

Je, una rafiki yako au jamaa yako anayehitaji kununua au kuuza mali zinazohamishika au zisizohamishika kama kama magari, nyumba na viwanja? Tuonganishe naye tutakulipa kamisheni, ikiwa tutaweza kumsaidia kuuza au kununua.

Unachotakiwa kukifanya ni kututumia taarifa zao kupitia email hii: info@kitomai.com au whatsapp +255 784 225 000 au sms 0755312233

Pata pesa kila wakati wauzapo au wanunuapo: www.kitomai.com

Refer a Friend and Make $ ~TSH

Do you have a friend or colleague who wants to buy or sell a property anywhere in the world? Refer them to us and we will pay you commission if we can assist them in buying or selling. Earn money every time they buy or sell. All you need to do is pass us their details.

Send the details to info@kitomai.com or WhatsApp +255784225000''

Sasa basi unaweza kuitumia hii fursa badala ya kubeza kuwa humu ndani kuna watu wachache wenye 100mil kwenda juu...
 
Tanzania ni nchi yenye vichekesho sn .

Hiyo nyumba thamani yake milion 400 ...hapo hapo ukimuuliza hebu ni ambia au nipe maelezo ya kunifanya ni kubali hiyo thamani yake.... cjui kama atukupa maelezo sahihi.

Nakutakia biashara njema.
 
Kama mnunuzi kabla haujatoa pesa yako kuinunua hiyo nyumba mpatie kazi mthamini ili ujue thamani halisi ya hiyo mali
 
Kwa mida hii hata 130 hupati ...hiyo bei unapata mikocheni
 
Watanzania ni watu tuliojaliwa roho ya tamaa sana, sijui kwa nini haturidhiki...

Hiyo nyumba hata matofali elfu ishirini hayafiki, na kwa bei ya tofali moja sh elfu moja Total ni Tsh milioni ishirini, kiwanja ukute ulinunua milion thelasini maximum, fundi labda alikula max milioni 15, cement maximum hapo imetumika mifuko tufanye maximum 2,000 kwa bei ya sh elfu 12,000 kwa mfuko inakuja milioni 24, mabati tufanye imegharimu milioni 30 kuweka paa, ok tuchukue na wewe umeongeza faida yako kidogo hadi hapo jumla ni Tsh 149,000,000 sasa hiyo bei ya milioni mia nne unaitoa wapiii?
Ok, ongeza na nondo pamoja na mchanga hapo, haizidi milioni 20...
 
Tanzania ni nchi yenye vichekesho sn .

Hiyo nyumba thamani yake milion 400 ...hapo hapo ukimuuliza hebu ni ambia au nipe maelezo ya kunifanya ni kubali hiyo thamani yake.... cjui kama atukupa maelezo sahihi.

Nakutakia biashara njema.

Si unaenda kwa valuer wa majengo ili upate uhakika halafu gharama ya valuation inaingia kwenye bei.
 
Watanzania ni watu tuliojaliwa roho ya tamaa sana, sijui kwa nini haturidhiki...

Hiyo nyumba hata matofali elfu ishirini hayafiki, na kwa bei ya tofali moja sh elfu moja Total ni Tsh milioni ishirini, kiwanja ukute ulinunua milion thelasini maximum, fundi labda alikula max milioni 15, cement maximum hapo imetumika mifuko tufanye maximum 2,000 kwa bei ya sh elfu 12,000 kwa mfuko inakuja milioni 24, mabati tufanye imegharimu milioni 30 kuweka paa, ok tuchukue na wewe umeongeza faida yako kidogo hadi hapo jumla ni Tsh 149,000,000 sasa hiyo bei ya milioni mia nne unaitoa wapiii?
Umesahau nondo,mchanga,kijiti na mbao.ghorofa sio kazi ndogo jamani
 
Hongera kwa Tangazo ila kwa uzoefu wangu mimi kabla hujanunaua hii nyumba mchukue Civil Engeneer na QS wakukagulie. Nimeona mapungufu mengi sana hapo. Mbaya zaidi hata paa lake haliko vizuri, ni fupi sana kwa standard ya ghorofa. Mwisho kabisa bei hiyo ni kwa nyumba ya ghorofa ilyo kamilika ya kuuza na punguzo juu. Kama ni kujenga basi kwa milioni 400 utakuwa na ghorofa nzuri tu. Sasa kwa finishing iliyobaki mil 200 na zaidi zitahitajika na hii inategemeana na finishing kama utataka nzuri it means finishing itakuwa mara mbili ya gharama iliyo nayo kwa sasa,
 
Watanzania ni watu tuliojaliwa roho ya tamaa sana, sijui kwa nini haturidhiki...

Hiyo nyumba hata matofali elfu ishirini hayafiki, na kwa bei ya tofali moja sh elfu moja Total ni Tsh milioni ishirini, kiwanja ukute ulinunua milion thelasini maximum, fundi labda alikula max milioni 15, cement maximum hapo imetumika mifuko tufanye maximum 2,000 kwa bei ya sh elfu 12,000 kwa mfuko inakuja milioni 24, mabati tufanye imegharimu milioni 30 kuweka paa, ok tuchukue na wewe umeongeza faida yako kidogo hadi hapo jumla ni Tsh 149,000,000 sasa hiyo bei ya milioni mia nne unaitoa wapiii?
Ok, ongeza na nondo pamoja na mchanga hapo, haizidi milioni 20...
Sijui kama unajua tathimini ya ujenzi
 
Ni vyema ukaambatanisha na picha ya lile bango la building permit.
 
Watanzania ni watu tuliojaliwa roho ya tamaa sana, sijui kwa nini haturidhiki...

Hiyo nyumba hata matofali elfu ishirini hayafiki, na kwa bei ya tofali moja sh elfu moja Total ni Tsh milioni ishirini, kiwanja ukute ulinunua milion thelasini maximum, fundi labda alikula max milioni 15, cement maximum hapo imetumika mifuko tufanye maximum 2,000 kwa bei ya sh elfu 12,000 kwa mfuko inakuja milioni 24, mabati tufanye imegharimu milioni 30 kuweka paa, ok tuchukue na wewe umeongeza faida yako kidogo hadi hapo jumla ni Tsh 149,000,000 sasa hiyo bei ya milioni mia nne unaitoa wapiii?
Ok, ongeza na nondo pamoja na mchanga hapo, haizidi milioni 20...
Hivi kweli unaamini kwa dhati ya moyo wako kuwa kuna fundi anayeweza kukujengea nyumba mpaka stage hiyo kwa sh mil 15?

Take note of these things:
Nyumba imepigwa plaster.
Nyumba imepakwa rangi
Nyumba imefanyiwa plumbing
Nyumba imewekwa grill chini
Nyumba imefanyiwa wiring (see the hanging wires)
Nyumba imewekewa tiles (see the veranda)
Nyumba ni ya ghorofa

Tathmini yako haina uhalisia hata robo. Actually namhurumia anayeuza nyumba yake katika hatua hiyo kwa sh mil. 400. Hakuna faida ya maana atakayopata.

Hapo kwenye ufundi, makadirio reasonable would be :
Kuchora ramani mil
Msingi mil 4.2
Kunyanyua mil 1.7
Slab mil 3.5
Kunyanyua juu mil 1.5
Paa mil 1.5
Grill 0.4 (just fitting)
Plaster mil 10
Rangi mil 4.5
Wiring 0.6
Plumbing mil 1
Tiles (kama ziko kote) 1.5 mil

Hii ni jumla ya 31.4 mil kwa makadirio ya chini bila kujumlisha kazi za hapa na pale kama ulinzi, kubeba materials, kufumua mbao, kubeba maji na nyingine. So to be safe, pesa ya ufundi hapo utenge kati ya mil 45-50 ili kufikia hatua hiyo.
 
Hivi kweli unaamini kwa dhati ya moyo wako kuwa kuna fundi anayeweza kukujengea nyumba mpaka stage hiyo kwa sh mil 15?

Take note of these things:
Nyumba imepigwa plaster.
Nyumba imepakwa rangi
Nyumba imefanyiwa plumbing
Nyumba imewekwa grill chini
Nyumba imefanyiwa wiring (see the hanging wires)
Nyumba imewekewa tiles (see the veranda)
Nyumba ni ya ghorofa

Tathmini yako haina uhalisia hata robo. Actually namhurumia anayeuza nyumba yake katika hatua hiyo kwa sh mil. 400. Hakuna faida ya maana atakayopata.
Tumejenga nyumba ya ghorofa juzi juzi na ni kubwa kuliko hiyo... Mpaka sasa imekula kama milioni mia moja na ishirini...
 
Good. Hongera.

Hiyo ghorofa mlilipa sh ngapi kwa ufundi wa kazi hizi?
1. Msingi
2. Slab
3. Kunyanyua chini na juu
4. Kuezeka
5. Blandering and ceiling
6. Wiring
7. Plumbing
8. Plustering
9. Painting.
10. Fitting the grills

Jitahidi utuwekee breakdown separately ili tujifunze njia mpya ya kupunguza gharama za ujenzi.

To me it's a miracle mtu kujenga nyumba mpaka level hiyo kwa mil 100.
 
Siwezi kukupa breakdown ila nimekupa totoal na nimekwambia nyumba ni kubwa kuliko hiyo hiyo inaingia mara moja na nusu... Kama unataka nitafute weekend nikupeleke site...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom