Hii ni kebehi na dharau kwa imani za wenzio ambao wanamuamin mungu ambaye wewe pia unamuamin. Ni vizur ukajirekebisha kitabia kwa kutambua kuwa Mungu hataki usela nondo kama huo wako unaouleta hapa kama hujui kitu fulan haswa juu ya iman ya Mungu ni bora ukakaa kimya hiyo itakuwa ni baraka kwako toka kwa muumba wako