Jumatatu ni sikuku au....?

Jumatatu ni sikuku au....?

Hii ni kebehi na dharau kwa imani za wenzio ambao wanamuamin mungu ambaye wewe pia unamuamin. Ni vizur ukajirekebisha kitabia kwa kutambua kuwa Mungu hataki usela nondo kama huo wako unaouleta hapa kama hujui kitu fulan haswa juu ya iman ya Mungu ni bora ukakaa kimya hiyo itakuwa ni baraka kwako toka kwa muumba wako


Acha jazba, asiyejua lazima ahoji aili aelimishwe, anayejua anapaswa kuelimisha na si kuonesha inferiority ati"dharau kwa imani ya wenzio"......inaonesha hujiamini.
 
dah ratiba yangu imeharibika, hata hivyo nashukuru kwa taarifa.!!
 
Hii ni kebehi na dharau kwa imani za wenzio ambao wanamuamin mungu ambaye wewe pia unamuamin. Ni vizur ukajirekebisha kitabia kwa kutambua kuwa Mungu hataki usela nondo kama huo wako unaouleta hapa kama hujui kitu fulan haswa juu ya iman ya Mungu ni bora ukakaa kimya hiyo itakuwa ni baraka kwako toka kwa muumba wako

Siwezi kukuacha upotoshe jambo hili.mimi nimemjibu mtu aliyesema "sikukuu nyingine hazina kichwa wala miguu",alimaanisha sikukuu ya MAULID haieleweki eleweki kwavile inategemea kuandama kwa mwezi.lakini mimi kwea kutumia akili hiyo ya usela nondo naona ni sahihi kuhesabu miezi kwa kuangalia mwandamo wa mwezi kwakua miezi ilihesabiwa kwa wanadamu kuangalia kila mwezi unapoonekana upande wa magharibi tangu zama za giza.sasa kosa langu lipo wapi mimi kumwambia kua amezoea kudanganywa kwa kuhesabu miezi nje ya muandamo wa mwezi?halafu hii ni sikukuu ya dini lazima ifate utaratibu wa dini na sio watu wachache kujipangia tarehe na kisha kuleta misunderstandings!ulichofanya hapa ni kuleta double standard,aliye dharau na kukebehi umemuacha kisha ukanivaaa mimi niliemkosoa,why?unapendelea?acha kupendelea.waisilamu hawawezi kukubali tarehe ya kuzaliwa mtume wao iwe FIXED kama ilivyofanywa X mass na warumi kuweka tarehe 25 december wakati Yesu hakuzaliwa tarehe hiyo na mwezi huo.pia nikwambie kua mimi najua kuhusu imani ya dini zote kwa ukamilifu wa kila dini na upungufu wa kila dini ndio maana siwezi kukaa kimya hasa kwa ukristo na uislamu,niko fiti na sipendelei upande mmoja.karibuni...!
cc,life is Short and MIDFIELD
 
Back
Top Bottom