Jumatatu hii darasani kwetu

Naona braza utafiti akishusha madude hapo
 
Last edited by a moderator:
naona wanafunzi darasa zima wanafanana hair style
 
Kutoka kulia, wewe, mshana, na koh koh koh, ticha wenu alikua Asprin mimi nilikua mpiga picha so siwezi kuonekana.....

Ahh mkuu kama wanafunzi wenyewe ni hao mwalimu anapoteza muda wake bure, maana jamaa wapo darasani ki mwili tu lakini kiroho . . .
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…