donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]nasema watapata tabu sana
Kwema mkuu
Harry Kane mbona hayupo...
Ndugu yangu acha uchochoze na kuisingizia timu yetu.Hivi taifa stars lini watashiriki world cup ?
Hivi taifa stars lini watashiriki world cup ?
Ha ha ha haha ha Wazee wa kuedit katika ubora wenu, hapo akina Messi watakuwa wakimwangalia Parachichi na Tikitichichi wakifanya yao mbele ya Ufaransa.
umesahau kuwa mwaka huu tumeshiriki na mwanachama wa uvccm toka tanga akafunga goliHivi taifa stars lini watashiriki world cup ?
Kane bado yupo, anacheza leo na atafunga goli la sabaHarry Kane mbona hayupo...