Jumapili ijayo nataka kwenda kansani na mtoko huu,kuna shida?

Unaenda kanisa lipi?
Kama ni Kanisa Takatifu Katoliki la Mitume, hatuna muda wa kusoma maandishi ya nguo ya muumini, labda uwe umevaa vibaya lakini sio maandishi ya nguo yako.
naenda kwa MAMA mkuuu

mlima wa moto
 
Matendo ya Mungu si ya binadamu.. Ukifanya kwa dhihaka....
 
Bwana Controla baada ya misa ubaki..
Nafikiri ndilo litakuwa tangazo la Mwisho siku hiyo.
ha ha ha

wanataka wanieke kitimoto

Huwa nikishatoa sadaka natorokaga,

maana kunakuaga hamna jipya.

Kufika hadi mwisho wa ibada,ilikua enzi za sunday school
 
Aisee nakuonea wivu ile mbaya, yaani unakwenda kanisani umevaa full nondo....T-shirt, unasindikizwa na gari la Konyagi huku unaingia kanisani umeshika mwamvuli. Aisee hapa hata Padri akikuona atakufutia dhambi na kulamba miguu yako.
kweli mkuuu??

asante kwa kunitia moyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…