Matendo ya Mungu si ya binadamu.. Ukifanya kwa dhihaka....Nataka nikitoka kanisani chap nipitie kwenye kikao cha ofisi,
sasa kwenye vikao mara nyingi huwa tunakuaga full gwanda
Juu lazima tutupie tshirt
View attachment 1228242
Chini suruali vaaa yoyote ile,so ntanyuka cardet yangu 1 na ngwasuma yangu chini
Gari ni lazima niwe nalo so ntaingia church na ndinga ya ofisi kama kawaida
View attachment 1228244
Kutokana na mvua za hapa na pale nadhani sitokosa mwamvuli kwa ajili ya vimanyunyu
kwakua wafanyakazi tunapewagwa kila kitu cha matumizi ya kila siku,mimi tayari nna mwamvuli wangu
View attachment 1228247
Sasa ndugu zanguni hebu tusaidiane kushauriana huuu mtoko ni sahihi au
ntaonekana kondooo ninaekaribia toroka zizini???
Wameleta na cover za bible sema sijafanikiwa kuipata ila
sijajua sasa kwa mtoko huu ntachukuliwaje?
ha ha haBwana Controla baada ya misa ubaki..
Nafikiri ndilo litakuwa tangazo la Mwisho siku hiyo.
kweli mkuuu??Aisee nakuonea wivu ile mbaya, yaani unakwenda kanisani umevaa full nondo....T-shirt, unasindikizwa na gari la Konyagi huku unaingia kanisani umeshika mwamvuli. Aisee hapa hata Padri akikuona atakufutia dhambi na kulamba miguu yako.
Nje ya mada kidogo.. hiyo avatar Kama ndo wewe huyo Basi mtaani hapo itakuwa hamde hamde Mana khah!😊Fresh tu, si mnasema pombe sio dhambi