kweli ndugu
kwa hiyo niwe huru tu si ndio?
Hamde hamde ndio kitu gani?Nje ya mada kidogo.. hiyo avatar Kama ndo wewe huyo Basi mtaani hapo itakuwa hamde hamde Mana khah!
Ili uchizi ukamilike vizuri vaa na bikini kabisa.Nataka nikitoka kanisani chap nipitie kwenye kikao cha ofisi,
sasa kwenye vikao mara nyingi huwa tunakuaga full gwanda
Juu lazima tutupie tshirt
View attachment 1228242
Chini suruali vaaa yoyote ile,so ntanyuka cardet yangu 1 na ngwasuma yangu chini
Gari ni lazima niwe nalo so ntaingia church na ndinga ya ofisi kama kawaida
View attachment 1228244
Kutokana na mvua za hapa na pale nadhani sitokosa mwamvuli kwa ajili ya vimanyunyu
kwakua wafanyakazi tunapewagwa kila kitu cha matumizi ya kila siku,mimi tayari nna mwamvuli wangu
View attachment 1228247
Sasa ndugu zanguni hebu tusaidiane kushauriana huuu mtoko ni sahihi au
ntaonekana kondooo ninaekaribia toroka zizini???
Wameleta na cover za bible sema sijafanikiwa kuipata ila
sijajua sasa kwa mtoko huu ntachukuliwaje?
Mana yake hembelu hembelu... Kujisemea vijana wa kileo yaliyomo kweli yamo Kama hiyo avatar Ni wewe😊Hamde hamde ndio kitu gani?