Mtalingolo
JF-Expert Member
- Aug 4, 2011
- 2,181
- 410
jumapiki ni siku mpya ya wiki?
Asante mkuu ila embu angalia hiyo HEADING!!
Blessings too mkuu....
Naimani wengi wenu mtakuwa wazima wa afya..
Kwa wale wapenzi wa tasnia ya sanaa hususani filamu poleni sana kwa msiba wa mwanasanaa mwenzenu.
Lakini pia kwa wakristo wote nichukue fulsa hii kuwatakia PASAKA NJEMA.
Na kwa wale waimani tofauti na hyo pia nawatakia JUMAPILI njema..
STAY BLESSED..
MTALLY...
Kiwewe chakuto ingia JF mda mrefu ndugu yangu,
Asante sana nawe uwe na sikukuu njema.
Hahahaa mkuu we hujui kukosea kwani?