M nadhan zote zifutwe IL ziwe siku za kazi tu.Enzi za mwalimu tulikuwa tunachapa kazi mpaka saa sita mchana,mzee Ruksa akaifutilia mbali.Sasa kama Rais JPM anasema kazi tu rudisha Jumamosi kuwa siku ya kazi serikalini tuache kulala lala.
Enzi za mwalimu tulikuwa tunachapa kazi mpaka saa sita mchana,mzee Ruksa akaifutilia mbali.Sasa kama Rais JPM anasema kazi tu rudisha Jumamosi kuwa siku ya kazi serikalini tuache kulala lala.[/QUO acha mambo hayo mkuu wengine ni sku takatufu hiyo
Tena ni kuanzia Ijumaa jua linapotua mpaka Jumamosi jua linapotua. Magufuli akitaka kubarikiwa aifanye siku hii iwe ndiyo takatifu ya kupumzika na kumwabudu Mungu.Huyu kutumwa na shetani!!! Ushindwe kwa Jina Yesu!! Jumamosi ni siku takatifu kwa Bwana! Ni sabato ya kupumzika kabisa. Kutoka 20:8
kazi gani wataz wanayofanya labda kuibaEnzi za mwalimu tulikuwa tunachapa kazi mpaka saa sita mchana,mzee Ruksa akaifutilia mbali.Sasa kama Rais JPM anasema kazi tu rudisha Jumamosi kuwa siku ya kazi serikalini tuache kulala lala.
mbona ijumaa tunafanya kaziWe jumamosi ni siku ya kusali kuabudu na kupumzika
Umepotea rafiki, Wasabato Tanzania hivi sasa wanafikia milioni 5. Wakiamua wanaweza kutoa rais wa nchi hii.wasabato tanzania hamfiki hata 5000 hapa kazi tu.kwani enzi za mwalimu ilikuwaje
Hata ijumaa ni hivyo hivyo mbona tunafanya kazi?We jumamosi ni siku ya kusali kuabudu na kupumzika
wasabato tanzania hamfiki hata 5000 hapa kazi tu.kwani enzi za mwalimu ilikuwaje