samirnasri
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 1,388
- 217
umefanya vizuri kuwakumbusha waliosahau kutokana na mahangaiko ya duniaNawakumbusha wakristu wote kwamba leo ni juma tano ya majivu siku ambayo wakristu wanaanza rasmi mfungo kuelekea kuteswa, kufa na baadaye kufufuka mwokozi wao yesu kristu. Tusisahau kwenda kanisani kupaka majivu leo jioni mimi ndo naelekea. Nawatakia wote mfungo mwema.
Nawakumbusha wakristu wote kwamba leo ni juma tano ya majivu siku ambayo wakristu wanaanza rasmi mfungo kuelekea kuteswa, kufa na baadaye kufufuka mwokozi wao yesu kristu. Tusisahau kwenda kanisani kupaka majivu leo jioni mimi ndo naelekea. Nawatakia wote mfungo mwema.

Kwani yesu alikufa msalabani ?
Hili sio jukwaa la malumbano ya dini.