Juma Nkamia Yuwapi?

Juma Nkamia Yuwapi?

Semenya

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2009
Posts
572
Reaction score
58
Jamani Juma Nkamia yupo wapi?Simuoni TBC sikuhizi.
 
nilisikia alikuwa na bifu na marine hassan,wenye data tujulisheni what was wrong with those two chaps?
 
yuko jimboni uko anasaka ubunge
 
Ndoto zake za ubunge zilichangiwa na kutokuona mwanga mbele yake akilinganisha maisha yake na wenzake walopmpiga gape (voa na bbc) akadata kabisa akaona sasa mbona hawa wabunge wetu kama wanatanua tuu hawana lolote wako kama mimi tu ngoja nijaribu nami....ila sasa amepata mwanga wa maisha bora angalau ajitahidi kwanza kuwa standatd level kimaisha.....then afanye savings aone kama ataweza kuzipeleka pesa zake za jasho kwa wapiga kura na wapiga debe kondoa....labda 2015 ila asijaribu ataumbuka!!
 
Back
Top Bottom