Juma Nature kumng'oa Mtemvu Temeke

kwa hiyo hayo maendeleo yataletwa kwa kupendwa kwake???!! hivi mbona wa Tz tumeamua kufanya siasa kana kwamba ni kama upiga debe tu, hata huo upiga debe una sifa zake kama kuwa na stamina ya kusimama muda mrefu,juani, na uwe na ngozi ya ku reflects mwanga wa jua, na sauti isiyokauka, sasa wewe unataka kuchekesha watu, juma nature kwa uwezo gani alionao??? wa kuingia bungeni? mbona unadharirisha watu wa kgm wewe?
 
yaani mtu anaamua kututhibitishia umburura wake kwa kumuanika hadharan mburula mwenzie akidhan kuwa mtu yeyote anaweza kuwa kiongoz..shame on you layman.
 

Lulu elizabeth na yeye akagombee jimbo gani manake watanzania tushavurugwa kila kingaacho si dhahabu kalagabaho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…