kilombero kwanza
Member
- Jan 16, 2015
- 62
- 24
...lakn tetesi zinanyetisha kuwa awali ilikuwa atangaze nia kupitia chama cha kafu,lakn mh,sugu amemshaur, kugombea kupitia cdm ...
Huyo Juma Nkangaa anatamba kwenye fani ipi ya sanaa!Mbona wasanii wanakimbia kuimba wanakimbilia nini Bungeni; Hadija Kopa, Sugu, Vicky kamata, Juma Nkangaa, Amina Chifupa ..........endelea
msanii nguli wa kizazi juma kasim kiloboto, atangaza rasmi nia ya kugombea ubunge jimbo la temeke.lakn alishindwa kuweka bayana ni chama gan atatumia kutimiza lengo hilo, la kuwaondolea kelo wakaz wa temeke.lakn tetesi zinanyetisha kuwa awali ilikuwa atangaze nia kupitia chama cha kafu,lakn mh,sugu amemshaur, kugombea kupitia cdm jambo ambalo bado analifikiria.
Duhmsanii nguli wa kizazi juma kasim kiloboto, atangaza rasmi nia ya kugombea ubunge jimbo la temeke.lakn alishindwa kuweka bayana ni chama gan atatumia kutimiza lengo hilo, la kuwaondolea kelo wakaz wa temeke.lakn tetesi zinanyetisha kuwa awali ilikuwa atangaze nia kupitia chama cha kafu,lakn mh,sugu amemshaur, kugombea kupitia cdm jambo ambalo bado analifikiria.
Akagombee ccm huko hatutaki wahuni chadema otherwise ajirekebishe na ajiheshimu ili aheshimike mbele ya jamii uongozi ni kujiheshimu na kuheshiwa.
Mtemvu ni mwepesi kuliko pamba , mgombea yeyote kutoka UKAWA anamuondoa haraka sana , ile hela ya jimbo aliyompa HASHIM LUNDENGA Itamtafuna sana .