geometry
JF-Expert Member
- Oct 30, 2014
- 466
- 356
Mwanamuziki mkongwe kwenye game la Bongo Fleva, Juma Nature, amesema yupo tayari kupambana na Diamond Platnumz kwenye game la muziki 'live" na show ifanyike uwanja wa taifa
Ameyezungumza hayo alipokuwa kwenye show ya 'Friday Night Live' usiku wa kuamkia leo ambapo amefunguka kwa kusema kuwa Diamond ndiye anakalia game ya muziki nchini kwa sasa, na muziki ni furaha basi anataka kupambana naye kwenye uwanja wa Taifa na mashabiki wakitazama huku kusema nani ni mshindi
Juma Nature anaamini kuwa Diamond ndiye kaiteka game kuliko Alikiba, Nakusema ndiye anaweza kushindana naye kwenye game la muziki. Hivyo kama viongozi wapo tayari kuunga mkono na kutengeneza muziki mzuri basi waandae tamasha hilo.