nimepata msangao sana juu ya uchezaji wa huyu kijana ni dhahiri kimwili yupo yanga kiakili bado yupo simba kabisa, goli la tatu ni uzembe mkubwa sana mpaka akafikia kuwapunguza nguvu wenzake kutafuta na kufuta magoli, naomba mzee akilimali mchunguze na akiwezekana mechi za simba hasidake kabisa, ameniudhi sana leo

lazima msajili wachezaji wa simba?
Kaseja leo kaniharibia siku
Sio kwamba siamini, nataka niwahesabu tu kuweka msisitizo; Kaseja, Yondani, Chuji, Ngasa, Okwi na Dida ingawa alikuwa benchi, kwa hiyo ni wachezaji sita.nusu ya timu leo ni wachezaji waliotoka simba, kama huamni hesabu
kuna bango limeandikwa simba chuo cha mafunzo, nasikia wanamtaka Ivo, Musoti na Mesi
na wewe yanga?
sio kwamba siamini, nataka niwahesabu tu kuweka msisitizo; kaseja, yondani, chuji, ngasa, okwi na dida ingawa alikuwa benchi, kwa hiyo ni wachezaji sita.
me yani naeleke kulala tu nimeghazabika sana ningekuwa na bastola ninge mchana kabisa
aha! Sina raha kabisa ata okwi kafunga lakini
Kaseja asilaumiwe....!wakulaumiwa ni Mrisho Ngassa....ambaye amedhalilisha wanamichezo kwa kushiriki kupigwa picha akifanya shughuli za uchi....ili hasa ndilo linaloendeleza laana pale jangwani. Binafsi nilijitoa kuishabikia yanga mpaka pale huyu dogo atakapoomba msamaha kwa wanamichezo ka utovu wake wa hekima na busara hadharani.Kaseja leo kaniharibia siku