Juma jux, Lulu Michael mambo hadharani

Juma jux, Lulu Michael mambo hadharani

Hahkama nawaona team lulu wanahamishia matusi kwa Vanessa!
Malipo hapa hapa sosho media!

Ama kweli karma is a bitch!!!Lulu huyuu muiba waume za watu Leo kaibiwa na kimbau mbau Vanessa!!!

Mwenzangu, kumbe majizo anapendaga vi portable , khaa , we mwache ajishaue yule Mpare , lulu mwenzie mchawi, atamgeuza sehem za siri sasa hiv
 
Embuuu!

Ujue sijaelewa!

Lulu aliolewa na Majizo, sawa!

Jux alikuwa kimapenzi na Vanessa.

Sasa imekuwaje Lulu yupo kimahaba na Jux, halafu Vanessa na Majizo?

What's wrong?
Lulu hakuolewa alichumbiwa na majizo
 
Hahkama nawaona team lulu wanahamishia matusi kwa Vanessa!
Malipo hapa hapa sosho media!

Ama kweli karma is a bitch!!!Lulu huyuu muiba waume za watu Leo kaibiwa na kimbau mbau Vanessa!!!
Haha Mjini hakuna chepe ako Dada ake
 
Utajiri ni kitu kingine na kutoa ni kitu kingine. Na pesa za Majay lakini ilibidi nguo za zamani zipigwe mnada. Binamu kusutwa kazi mimi nina log off.

Ahahah binamu jaman ebu toa ya moyon, mi nilidhan save my valentine alitoa kwa upendo? Kumbe kuna mengine nyuma ya pazia ? Hakyamungu singinda sirud tena warumi mimi
 
Ahahah binamu jaman ebu toa ya moyon, mi nilidhan save my valentine alitoa kwa upendo? Kumbe kuna mengine nyuma ya pazia ? Hakyamungu singinda sirud tena warumi mimi
Mmh pesa ya mwenzio kuifanya yako shughuli binamu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom