Juma jux, Lulu Michael mambo hadharani

Juma jux, Lulu Michael mambo hadharani

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,213
Reaction score
18,455
Jaman mji mzito huu, kwa hiyo Majizo anamla Vanessa Mdee? Khaa poleni akina Lulu na Jux , kama vipi na nyie si mlianzishe, maana mnapendezana hatari, khaa yani V Money jamani ptuuu hadi wewe? Looh pole Lulu mwaego, ndio maana vijembe vilikuwa haviishi insta loh mji mzito , Ahahah , Vanessa and Majiso new couple in town huu
IMG_0922.JPG
 
Jaman mji mzito huu, kwa hiyo majizo anamla Vanessa mdee? Khaa polen akina lulu na jux , kama vip na nyie c mlianzishe, maana mnapendezana hatar , khaa yan V money jaman ptuuu had wewe? Looh pole lulu mwaego, ndio maana vijembe vilikua haviishi insta loh mji mzito , Ahahah , Vanessa and Majiso new couple in town huuView attachment 1141480
Si ulisema jux ni mchicha mwiba dada
 
Jaman mji mzito huu, kwa hiyo majizo anamla Vanessa mdee? Khaa polen akina lulu na jux , kama vip na nyie c mlianzishe, maana mnapendezana hatar , khaa yan V money jaman ptuuu had wewe? Looh pole lulu mwaego, ndio maana vijembe vilikua haviishi insta loh mji mzito , Ahahah , Vanessa and Majiso new couple in town huuView attachment 1141480
Wanafaida gan kwa taifa letu
 
Embuuu!

Ujue sijaelewa!

Lulu aliolewa na Majizo, sawa!

Jux alikuwa kimapenzi na Vanessa.

Sasa imekuwaje Lulu yupo kimahaba na Jux, halafu Vanessa na Majizo?

What's wrong?
 
Embuuu!

Ujue sijaelewa!

Lulu aliolewa na Majizo, sawa!

Jux alikuwa kimapenzi na Vanessa.

Sasa imekuwaje Lulu yupo kimahaba na Jux, halafu Vanessa na Majizo?

What's wrong?

Soma umbea vzur shoga angu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom