Mbona hamumshukuru kuwa ana mganga mkali katika kazi πππV amefanya Jambo la Maana ,Mlamba lips alikuwa alikuwa anamfuja Sister V Money.
Kwanini?Ila kupitia comments nimepita Tzshaderoom na shaderoom ya Marekani,
Tanzanian tuna shida mahali
Mkuu inaonesha wazi kabisa wewe ni mgeni wa mapenzi, yawezekana kabisa ni dume bikra ππWewe umejuaje jux ameumia? Kwani upo kwenye moyo wake? Acha vitu vingine vikupite mzee baba
Wanaachana kwa faida lakini, mali pasu kwa pasu ππ na venye jamaa huyo ana mawe yani vee atakuwa bilionea haraka sanaYote kwa Yote Mwisho Wa Siku Wataachana Tu........Uchumba au Ndoa Zote Zinazo anziaga Instagram Huwa Hazifiki Mahali