muheshima Juma popote ulipo njo uendelea na kampeni tumeshawaambia wananchi waache zomea zome zao njo uendee bana na kampeni maana siku zenyewe zinakwisha, mbona mama azomewi!!
Acheni watu watoe maoni yao. Wewe ni nani hadi uwaamulie wanachoandika? Wakiandika mnasema ni buku saba...mara vioja, hivi nyani haoni tako lake eenh, hayo mahaba mliyonayo kwa Lowasa regardless of his weakness mbona hatuzisemi...
Si kweli, kilichomkatisha tamaa ni kile alicho sema Dr. Slaa kuwa Chadema wame hamishia choo cha CCM chumbani kwao, baada ya mgombea kujiachia na choo Laivu. Kumbuka yule ni Mpemba wenzetu wanakuwa na Taasisi tofauti kwa tukio Kama lile.
kuanzia jana naona ni awamu ya nguvu yakuzusha kila uwongo ktk mitandao ili labda huwenda ikasaidia mara twaweza % 69 kama mnaweza kwanini mlete uwongo hapa! mara juma duni kazomewa, kazomewa wap?
mgekuwa ni wakweli mgeeleza humu maelezo ya kuwafanya wanajamii wawakubali lkn kila siku uzandik mpya mnajimaliza.
Amechua chake na kula kona....mambo magumu...kila anapoenda ni kuzomewa.... Anajuta kuwafahamu chadema....idiology zake na chadema not compactible....malengo tofauti..... Hali yake ni tete!!!