Juma Duni Haji hajarejea CUF, puuuzeni uvumi wa CCM

Tutaaminije taarifa yako? By the way taarifa niliyoweka haikusema kuwa Juma Duni Haji amerejea CUF bali ilisema kuwa Babu Duni ajiengua CHADEMA. Pia kwenye ile taarifa nilisema kuwa Babu Duni hajaamua kama arejee CUF au astaafu siasa. Kuwa makini na matamko yako ya kichina
Wewe jamaa una majungu sana..mbona kuna mambo mengi ya msingi yakuandika..hasa uchumi wetu na elimu..una shida gani?
 
Siasa za maji taka hivi wanaccm mtaziacha lini? How does it make sense to spread unconcerned information without even a little bit truth? Ooooh!! Come on! Elimikeni jamani dunia ya sasa si ya jana. Change your atitudes
 
Back
Top Bottom