ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,662
Aliyekuwa Mgombea mwenza wa UKAWA Juma Haji ameunga mkono juhudi zinazofanywa JPM.Akiongea na Millard Ayo jana katika kipindi cha Amplifaya cha Clouds Fm Juma Haji ameunga mkono utendaji kazi wa JPM.
Akiongeza, amemshauri Rais kuwa katika suala ya kuwatimua watetandaji wa umma wazembe katika kazi na wale wote wanaokiuka Maadili ya kazi haina haja kwa Mh.Rais kutoa sababu ya kumfukuza mtendaji husika bali anacho paswa ni kumteua mtendaji na kumpa majukumu.
Juma Haji alisema kuwa ni mapema mno kukosoa utendaji kazi wa Magufuli na kuomba tumpe kipindi cha mwaka Mmoja