Juma Duni Haji ajiengua Rasmi CHADEMA

Mzee alishazoea kucheza Bao akiwa kavaa msuli...

Akaiga swaga za kaskazini....watu wanavaa kadeti za kaki na travolita nyeusi..


Hahaaaaa...Babu kalowa huyo
 
Kwa macho yangu nilimuona akishuka boti pale bandarini akitembea kwa mguu kutafuta taxi,,kinyume na wakati wa kampeni alipokuwa akifuatwa na v8 na wapambe kibao na mikwara mingi
 
Duuh huu usajili wa babu duni ulikua ghali sana kabla ya dirisha dogo kufungwa akaomba chake.

Inaonekana hakucheza vizur ligi viongozi kuona hivyo baada ya ligi kuisha kombe lenyewe wamekosa wakamua kuaachana nae kienyeji kama time za mchangani
 
Hii habari si ya kweli imejaa chembe za chuki fitna majungu
Ushankupe
Kujikomba
Kujikweza
Uzandiki
Kuwashwa washwa

Mumpuuze huyu mtu Mpaka sasa Juma Duni Haji hajatoa statement yoyote juu ya uanachama wake.

Unachokifanya hapa ni KUJITEKENYA WE MWENYEWE
 
ngumu kumeza hizi porojo zake. kwanza siamini kama kweli alishinikiza kupewa mil 550 wakati lengo lao hasa wa zenji ilikuwa ni kuongeza nguvu ya upinzani ndo maana walikuwa hata tayari kumpoteza Prof. Lipumba na kuungana na Lowassa ili kuihenyesha CCM. huwa naziamini habari zako ila hii umechemka.
 

Lizaboni. Mimi nimiongoni mwa wana JF wanaokubali sana Na kuamini ushushushu wa Habari zako mara nyingi zinakuwa Za Kweli.maana kwa hadhi yako Habari Za ubuyu hazina nafasi upo kwenye ulimwengu mwingine sio Pale chuoni Moshi. Swali: Kwani Babu Duni Na Kijana we2 aliyekuwa mbunge wa sikonge- Said Nkumba ninani aliyekaa sana upinzani kabla ya Kurudi chama chake cha awali? Naona kama Babu Duni kavumilia kakaa sana. Yule mwingine ni pure maigizo.Siasa ni mchezo wa kuangalia maslahi.Naomba maelekezo yako Mkuu


"HAPA KAZI 2"
 
ushamaliza dawa, kama ndivyo huwenda hujapona vizuri muone daktari kwa ushauri zaidi
 
  1. Poe sana ndugu. Wewe ni mtoto mdogo sana kuweza kuyajua haya. Mengi niliyoandika yamekuwa yakitokea. Subiri soon utaujua ukweli
 
Kwanza nashukuru kwa pongezi zako. Kuhusu Nkumba, ni kweli alidhamiria kuhama CCM. Na alifanya hivyo kwa dhati ya moyo. Kilichotokea ni kwamba baada ya kuhama, hakupokelewa vizuri na CHADEMA Sikonge na hakupata nafasi ya kugombea ubunge kama alivyotarajia. Akabaki njia panda. Baada ya kutafakari sana akaona ni bora abaki mtu wa kawaida akiwa na imani yake ya CCM kuiko kuwa raia upinzani. Ndo maana akarejea fasta
 
Duuh huu usajili wa babu duni ulikua ghali sana kabla ya dirisha dogo kufungwa akaomba chake.

Inaonekana hakucheza vizur ligi viongozi kuona hivyo baada ya ligi kuisha kombe lenyewe wamekosa wakamua kuaachana nae kienyeji kama time za mchangani
Mkuu, unanikumbusha ya yule Ngongoti wa Simba ambaye baada ya dirisha dogo kuanza walilazimika kuvunja mkataba wake
 
Mkuu Bramo, hizi ni facts ambazo wewe hauna
So what @Lizaboni
What do you want to say out of that.
Sijaona Issue kabisa katika hili
Kuwa Mkuu,anzisha japo thread zenye Mashiko,Hata ungesema leo PM amewaonya wakimbizi wa Congo na Burundi could be Worth and at least ingekuongezea Heshima
Wewe kutwa kucha CHADEMA
Acha utoto Kaka na Nongwa / Gubu la Ki Zaramo
 
Mara nyingi tetesi za lizibon huwa kweli, kwa mtazamo wa haraka tu unagundua kuwa huenda duni hayupo cuf.. yaan kimwili yupo ila kiroho hayupo
 
Mkuu, mimi kwa dhati ya moyo wangu naamini kwamba Duni alienda CHADEMA for convinience tu kutaka kupata cheo cha umakamo wa Rais wakidhani kwamba UKAWA watashinda. Siamini hata kidogo kwamba Duni alienda CHADEMA kwa mapenzi yake mema kwa chama hicho na hivyo kuitupa mkono CUF. Naamini kwamba anayo kadi ya CUF na huenda ameisharejea CUF kitambo.
 
Mkuu, mimi kwa dhati ya moyo wangu naamini kwamba Duni alienda CHADEMA for convinience tu kutaka kupata cheo cha umakamo wa Rais wakidhani kwamba UKAWA watashinda. Siamini hata kidogo kwamba Duni alienda CHADEMA kwa mapenzi yake mema kwa chama hicho na hivyo kuitupa mkono CUF. Naamini kwamba anayo kadi ya CUF na huenda ameisharejea CUF kitambo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…