Juma Duni Haji ajiengua Rasmi CHADEMA

@Lizaboni elewa kuwa Juma Duni Haji ana mke tayari na hana mpango wa kuoa tena. Tafuta mume mwingine utabahatisha.
 
Babu Duni alipigwa talaka rejea na CUF. Yeye na EL walikuwa askari wa kukodiwa na CDM. Mission imefeli,kila inabidi arudi alikotoka. EL naye arudi CCM, hatimaye Dr Slaa atatinga CDM,amsaidia Magufuli kumwonyesha majipu.
 
ungese mtupu
 
Babu Duni alipigwa talaka rejea na CUF. Yeye na EL walikuwa askari wa kukodiwa na CDM. Mission imefeli,kila inabidi arudi alikotoka. EL naye arudi CCM, hatimaye Dr Slaa atatinga CDM,amsaidia Magufuli kumwonyesha majipu.
Dah. Mapendekwzo yako mazuri sana. Sasa swali la kujiuliza je CHADEMA watampokea Dr Slaa?
 
hahahahhaah...aisee nimemini kuna watu wanawashwa
 
Walichofanya chadema kwa Juma Duni ni usanii, ila kama wapinzani wanampango wa kuunganisha vyama vyao ifikapo 2020 huyu Duni c angebaki tu chadema? Au ashanusa harufu ya uwaziri huko zenji kupitia cuf? Hii itaonekana wapinzani hwana mcmamo
 
Mkuu, pole sana. Najua inakuuma sana kwa haya niliyoandika. Ila jukumu langu ni kuwahabarisha kile ambacho mlikuwa hamkijui
Umeandika utafikiri bata anachezea majiachafu.



swissme
 
Aachane na siasa tuu, ashapata pesa ale angoje hatma ya mwenyezi mungu, hawamtaki huko CDM
 
Aachane na siasa tuu, ashapata pesa ale angoje hatma ya mwenyezi mungu, hawamtaki huko CDM


Utakuwa unajua ukweli wa mambo mkuu. Naunga mkono hoja yako mpaka aje ajitokeze hadharani aseme ya moyoni ila kwa sasa nakuunga mkono
 
Sioni kwa mtu anayejua mfumo wa kisiasa Tanzamia hii itamshangaza. Mzee Duni alijiunga na CHADEMA ili kukidhi matakwa ya kisheria kuwawezesha UKAWA kuingia katika uchaguzi wakiwa na ushirikiano waliokwa nao. Sasa kwamba ukawa hawakushinda ana haki kabisa ya kurejea kwenye chama chake. Ni dhairi mleta mada anataka kulitumia hili kisiasa ionekane kama kitu cha ajabu kwa hayo mengine aliyoyatoa kama sababu za kujitoa!
 
Milioni 300 zinamtosha sana,afanye investment tu,aachane nao
 
Humu watu wanacomment tu hawajua maafikiano na cuf na chadema juu ya kusimamisha rais na makamu wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…