Juma Duni Haji ajiengua Rasmi CHADEMA

Lakini Upinzani wangesimama wenyewe hata wakakosa Urais mwaka huu heshma yao ingebaki pale pale
Kuja kuingiza mijitu mingi halafu wakasahau chadema asilia na kuzalisha migogoro mipya ndani ya chama kama alivyofanya bulaya kule Bunda
hawana historia ya kusimama peke yao.
 
H Dah saisa bhnaaaaa
 
hawana historia ya kusimama peke yao.
Kama kulikuwa hakuna biashara haramu ndani yake ni kwanini wamuahidi 550m? je Duni hakuyataka mabadiliko?
Kipindi kile ilikuwa ni Hatari sana kuwaambia viongozi wa UKAWA kuwa Lowasa alikuwa kazini, kwamba alitumwa na ccm baada ya kupima nguvu yao wakiwa wenyewe na Nguvu ya Ukawa na hali ya siasa ilivyokuwa ndani ya ccm na Taifa kwa Ujumla.
aliwahadaa zaidi pale alipowaletea Madson Chizii eti alikuwa mwizi wa kura Taifa.
akawafanya viongozi wote kufuata order toka kwake mbaya zaidi akawaambia pigeni kura chungeni za mbunge na diwani za rais niachieni nitalinda mwenyewe Je, alilinda?
ameshawaambia ilikuwaje akashindwa kuzilinda?
 
@Lizaboni mbona unahangaika sana na habari za CHADEMA kuliko za CCM? huko zanzibar mbona mmeshindwa lakini hamtaki kukubali? Kuhusu habari za Babu Duni huu umbea na uzushi.
 
Yaani umebwabwajaaaaaa... halafu mwishoni unakuja kumaliia 'Anasema anaendelea kutafakari na soon anatatoa hatma yake kisiasa'..Ni nini hizi kama sio hekaya..Kumbe bado hajasema hasa wewe umetoa wapi huu umbea wako?
 
Hayo ndo matatizo ya Division 5 na BRN
 
Hakiumi ila ninashangaa jinsi unavyopoteza muda mwingi kubomoa kwa jirani badala ya kujenga kwako, angalia msije jikuta wote mko nje hakutakuwa na wa afadhali, aliebomolewa wala iliyobomoka yenyewe.
...usimshangae huyu mkuu wa wilaya, wote tabia zao ni kujikomba komba!
 
Sio kila homa ni chadema, ila wewe umekariri hivyo, muone mtaalamu wa saikolojia akutibu.
Sikutarajia Lizaboni ana kaupeo kadogo namuna hiii.Kimsingi Duni hakuwahi kuhama Cuf
 
Nasikia ccm kumenuka, magembe anataka kumshughulikia karibu muuza pembe
 
Hiyo ndo faida ya kuwa na wasomi wa Dvision 5 na BRN ndo unawapata akina Lizabon
 
sasa si bora tu, ungeadika kishwa cha habari kwamba, sijajua kama Duni ataama chadema au hatohama
 
Lizabon kwani kuna kosa mtu akiamua kugombea nafasi yoyote kwenye UTAWALA?Je Sheria za nchi zinaruhusu nani agombee na nani asigombee???

Je Nchi hii ni ya CCM pekee wapinzani hawastahili kuwa viongozi?

Na mwisho kabisa vyama vya siasa vipo kisheria na kikatiba,huna haki ya kusema TAMAA wenye TAMAA ni wale wabunge wenu waliohonga wananchi pesa ili washinde .

Tanzania ni nchi ya kwanza ulimwenguni kumpa muwekezaji tena mgeni UBUNGE,na hii imetokea baada ya CCM kumpitisha MUWEKEZAJI wa shamba la Mbarali kuwa Mbunge ni aibu iliyopitiliza.

Ukada umekufanya usione uzuri wa upinzani,na bila upinzani leo tusingejua kwamba Mlikuwa mnakula bila hata kunawa.Mmemaliza pesa zote na bado mkajidai JK msafi leo prove usafi wake amebaki kulilia kama mjusi waliyebanwa na mlango.

Ushauri anaanza kuwaondoa MCHWA waliopo CCM maana walioopolewa kutoka TRA na TPA tunategemea 2020 kuchukua form za kugombea Ubunge.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…