MwanaCBE JF-Expert Member Joined Sep 23, 2009 Posts 1,771 Reaction score 804 Dec 8, 2016 #201 kabombe said: Mkuu hiyo in katiba yao wenyewe cut sio ya nchi,na Duni alishiriki kuipitisha Click to expand... Babu Duni alilazimika kuhama chama kwa sababu sheria za hovyo zililazimisha ahame ili awe mgombea mwenza wa UKAWA.
kabombe said: Mkuu hiyo in katiba yao wenyewe cut sio ya nchi,na Duni alishiriki kuipitisha Click to expand... Babu Duni alilazimika kuhama chama kwa sababu sheria za hovyo zililazimisha ahame ili awe mgombea mwenza wa UKAWA.
K kabombe JF-Expert Member Joined Feb 11, 2011 Posts 26,151 Reaction score 18,753 Dec 8, 2016 #202 MwanaCBE said: Babu Duni alilazimika kuhama chama kwa sababu sheria za hovyo zililazimisha ahame ili awe mgombea mwenza wa UKAWA. Click to expand... Ukawa ni nini? Imesajiliwa wapi? Uchu wa madaraka ulimfanya asaliti itikadi yake,usisingizie sheria
MwanaCBE said: Babu Duni alilazimika kuhama chama kwa sababu sheria za hovyo zililazimisha ahame ili awe mgombea mwenza wa UKAWA. Click to expand... Ukawa ni nini? Imesajiliwa wapi? Uchu wa madaraka ulimfanya asaliti itikadi yake,usisingizie sheria
MwanaCBE JF-Expert Member Joined Sep 23, 2009 Posts 1,771 Reaction score 804 Dec 8, 2016 #203 kabombe said: Ukawa ni nini? Imesajiliwa wapi? Uchu wa madaraka ulimfanya asaliti itikadi yake,usisingizie sheria Click to expand... kumbe nawe ndo wale wale. Najuta kupoteza muda wangu kukujibu.
kabombe said: Ukawa ni nini? Imesajiliwa wapi? Uchu wa madaraka ulimfanya asaliti itikadi yake,usisingizie sheria Click to expand... kumbe nawe ndo wale wale. Najuta kupoteza muda wangu kukujibu.
DITOPILE WAPILI JF-Expert Member Joined Oct 19, 2015 Posts 386 Reaction score 265 Dec 15, 2016 #204 Kwa muda mrefu Babu Duni amekuwa kimya, kwenye medani ya siasa, hii sio jambo jema mwanasiasa kuwa kimya kiasi hiki, Hivi bado yupo UKAWA? maana hata kwenye mikutano ya UKAWA sijawai kumuona au ndiyo "KIFO CHA MENDE MBENDEMBEDE CHALIII"
Kwa muda mrefu Babu Duni amekuwa kimya, kwenye medani ya siasa, hii sio jambo jema mwanasiasa kuwa kimya kiasi hiki, Hivi bado yupo UKAWA? maana hata kwenye mikutano ya UKAWA sijawai kumuona au ndiyo "KIFO CHA MENDE MBENDEMBEDE CHALIII"
MKWEPA KODI JF-Expert Member Joined Nov 28, 2015 Posts 28,700 Reaction score 71,114 Dec 15, 2016 #205 Ukawa ipo vilevile, wewe unazungumzia vikao vya CUF na chadema au ukawa?
DITOPILE WAPILI JF-Expert Member Joined Oct 19, 2015 Posts 386 Reaction score 265 Dec 15, 2016 #206 MKWEPA KODI said: Ukawa ipo vilevile, wewe unazungumzia vikao vya CUF na chadema au ukawa? Click to expand... UKAWA
MKWEPA KODI said: Ukawa ipo vilevile, wewe unazungumzia vikao vya CUF na chadema au ukawa? Click to expand... UKAWA
Ndalama JF-Expert Member Joined Nov 22, 2011 Posts 8,787 Reaction score 6,543 Dec 15, 2016 #207 DITOPILE WAPILI said: Kwa muda mrefu Babu Duni amekuwa kimya, kwenye medani ya siasa, hii sio jambo jema mwanasiasa kuwa kimya kiasi hiki, Hivi bado yupo UKAWA? maana hata kwenye mikutano ya UKAWA sijawai kumuona au ndiyo "KIFO CHA MENDE MBENDEMBEDE CHALIII" Click to expand...
DITOPILE WAPILI said: Kwa muda mrefu Babu Duni amekuwa kimya, kwenye medani ya siasa, hii sio jambo jema mwanasiasa kuwa kimya kiasi hiki, Hivi bado yupo UKAWA? maana hata kwenye mikutano ya UKAWA sijawai kumuona au ndiyo "KIFO CHA MENDE MBENDEMBEDE CHALIII" Click to expand...
MKWEPA KODI JF-Expert Member Joined Nov 28, 2015 Posts 28,700 Reaction score 71,114 Dec 15, 2016 #208 DITOPILE WAPILI said: UKAWA Click to expand... Ukawa haijakaa kikao chochote siku za karibuni
DITOPILE WAPILI JF-Expert Member Joined Oct 19, 2015 Posts 386 Reaction score 265 Dec 15, 2016 #209 Ndalama said: View attachment 446527 Click to expand... FREE BRO MELO
M Mgango JF-Expert Member Joined Oct 27, 2016 Posts 2,341 Reaction score 1,055 Dec 15, 2016 #210 "Tamaa ya umakamu wa Rais" Pole sana kwa kujifanya hamnazo. Ungejiuliza ndege ni muhimu kuliko elimu ?au maji?
"Tamaa ya umakamu wa Rais" Pole sana kwa kujifanya hamnazo. Ungejiuliza ndege ni muhimu kuliko elimu ?au maji?