Juma Duni ataja siri kubwa ya Lowassa kurudi CCM

Juma Duni ataja siri kubwa ya Lowassa kurudi CCM

Na yeye kilichomtoa CDM akaenda CUF then ACT ni kipi? Wanasiasa wote rangi sawa!

Sent using Jamii Forums mobile app
Yeye alijiunga chadema kwa minajili ya picha kwani sheria haikuruhusu alliance ya vyama (kushirikiana kwa vyama). Hivyo ili CUF iweze kutoa mgombea mwenza, ilikuwa shurti mgombea wa chadema ajiweke cuf au wa cuf ajiweke chadema. Ndicho kilochotokea. Sababu ya kuhama cuf kwenda act iko wazi.
 
Hivi kunyamaza maana yake ni nini?
Huku anasema sisi sio watoto wadogo na huku anaongea na bado anasema acha tunyamaze
Kweli huwa nasema kila wakati kunyamaza ni busara sana

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Mnafiki huyu..lowasa kurudi ccm nongwa..ye kurudi cuf chadema kila mtu kambale..kwa nini asiseme pengine kilichomtoa yeye ndio kilichomtoa lowasa..? Au alitaka aichafue chadema kwa kusema kila mtu kambale ili aonekane dhamira yake ya kutoka chadema sio mbaya ila chama ndio kibaya?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa hapo 'sirikubwa' ndiyoipi? Hayo yalitokea toka zama za lamwai hata sumaye tunamwona....kiufupi yanajulikana kwa wenye akili za kupambanua vitu.
 
Nitakufa ndo maana namsemea huyu ambaye hataki kusema. Hata mimi nisingesema. Nikitaka kusema nisilotaka watu wanifuate nitaandika kwenye memoir yangu wasome nikishaondoka.
asante zombie[emoji83] [emoji196] [emoji16] [emoji216] [emoji218]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnafiki huyu..lowasa kurudi ccm nongwa..ye kurudi cuf chadema kila mtu kambale..kwa nini asiseme pengine kilichomtoa yeye ndio kilichomtoa lowasa..? Au alitaka aichafue chadema kwa kusema kila mtu kambale ili aonekane dhamira yake ya kutoka chadema sio mbaya ila chama ndio kibaya?

Sent using Jamii Forums mobile app
Tena unafiki wa hali ya juu

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Back
Top Bottom