Juma Duni ataja siri kubwa ya Lowassa kurudi CCM

5525

JF-Expert Member
Apr 6, 2014
5,412
6,273
Naibu Kiongozi wa Chama Cha ACT - Wazalendo, Juma Duni Haji, amesema Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa hastahili kulaumiwa kwa uamuzi huo wake wa kurejea CCM.

lowasaaaaaaaaaaaaa.jpg

Akizungumza siku chache tangu atangaze kuingia ACT - Wazalendo ambapo amesema, “sitaki kuongea mengi juu ya uamuzi huu wa bwana Lowassa, lakini kwa mtazamo wangu najua hakupenda kuchukua uamuzi huu, ila imembidi tu sababu hakuna namna".

Lowassa ni mtu mzima, anajua ukweli wake na hata CCM wanajua walichomfanyia, nyuma ya uamuzi wake tumesikia misukosuko mingi, kuna mashamba, biashara, mara mkwe, lakini sisi si watoto wadogo, tunafahamu yanayoendelea ila ngoja tunyamaze,” ameongeza Duni.

Mwaka 2015 Juma Duni alikuwa mgombea mwenza wa nafasi ya Urais katika Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, ambapo mgombea Urais alikuwa Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa lakini baadaye Duni alitangaza kurejea Chama Cha Wananchi CUF.

eatv-logo.png
 
Naibu Kiongozi wa Chama Cha ACT - Wazalendo, Juma Duni Haji, amesema Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa hastahili kulaumiwa kwa uamuzi huo wake wa kurejea CCM.

View attachment 1057915

View attachment 1057916
Siri kubwa ya kurejea ccm ni kula ubwabwa ulioungwa kwa nazi na nyama ya mbuzi, amechoka kula dona na maharage
 
Naibu Kiongozi wa Chama Cha ACT - Wazalendo, Juma Duni Haji, amesema Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa hastahili kulaumiwa kwa uamuzi huo wake wa kurejea CCM.

View attachment 1057915

Akizungumza siku chache tangu atangaze kuingia ACT - Wazalendo ambapo amesema, “sitaki kuongea mengi juu ya uamuzi huu wa bwana Lowassa, lakini kwa mtazamo wangu najua hakupenda kuchukua uamuzi huu, ila imembidi tu sababu hakuna namna".

Lowassa ni mtu mzima, anajua ukweli wake na hata CCM wanajua walichomfanyia, nyuma ya uamuzi wake tumesikia misukosuko mingi, kuna mashamba, biashara, mara mkwe, lakini sisi si watoto wadogo, tunafahamu yanayoendelea ila ngoja tunyamaze,” ameongeza Duni.

Mwaka 2015 Juma Duni alikuwa mgombea mwenza wa nafasi ya Urais katika Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, ambapo mgombea Urais alikuwa Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa lakini baadaye Duni alitangaza kurejea Chama Cha Wananchi CUF.

View attachment 1057916
Kwa nini asitaje siri kubwa ya yeye na Sultan Maalim Seif kuhamia ACT?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila mtu anajua ni UFISI WA CCM

Masultani wako CCM , ukoo wa Sultani Mwinyi mpaka mawaziri wamo, Sultani Mkapa kajiuzia migodi, Sultani Kikwete mpaka Queen ni mbunge, Sultani Ngosha, Mjomba kakabidhiwa hazina....... hujaenda kwa viongozi wengine wa CCM
 
Lowasa alirejea CCM kutoka Chadema na Duni alirejea CUF kutoka Chadema. Kwakuwa anazijua sababu za Lowasa kurejea CCM, ni busara,pia atueleze pia sababu za yeye kurejea CUF kutoka Chadema.
Naibu Kiongozi wa Chama Cha ACT - Wazalendo, Juma Duni Haji, amesema Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa hastahili kulaumiwa kwa uamuzi huo wake wa kurejea CCM.

View attachment 1057915

Akizungumza siku chache tangu atangaze kuingia ACT - Wazalendo ambapo amesema, “sitaki kuongea mengi juu ya uamuzi huu wa bwana Lowassa, lakini kwa mtazamo wangu najua hakupenda kuchukua uamuzi huu, ila imembidi tu sababu hakuna namna".

Lowassa ni mtu mzima, anajua ukweli wake na hata CCM wanajua walichomfanyia, nyuma ya uamuzi wake tumesikia misukosuko mingi, kuna mashamba, biashara, mara mkwe, lakini sisi si watoto wadogo, tunafahamu yanayoendelea ila ngoja tunyamaze,” ameongeza Duni.

Mwaka 2015 Juma Duni alikuwa mgombea mwenza wa nafasi ya Urais katika Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, ambapo mgombea Urais alikuwa Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa lakini baadaye Duni alitangaza kurejea Chama Cha Wananchi CUF.

View attachment 1057916
 
Hivi kunyamaza maana yake ni nini?
Huku anasema sisi sio watoto wadogo na huku anaongea na bado anasema acha tunyamaze
Kweli huwa nasema kila wakati kunyamaza ni busara sana

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Ni Nahau za lugha ya kiswahili, kama unajua nini maana ya Nahau..

Kumbuka kuwa Juma Duni ni Mzanzibari
 
Back
Top Bottom