Julius Nyerere: Siwezi kuacha nchi yangu iangukie mikononi mwa mbwa!



Mbwa alimaanisha ninyi takataka chadema, na ndoo maana alimkataa Fisadi Lowasa ambaye mnaye huko!
 
Stop twisting the truth! Malecela hakukatwa sababu za udikteta...ishu ilikuwa ni ile Memorandum of Understanding (MoU) aliosainishwa na watoto wa Muscat...period...
 
Ila Kenya kauli hii ilisababisha Odinga apigwe chini na wananchi iliyotolewa na Kenyatta;

Hahahahaha, [HASHTAG]#Uhuru[/HASHTAG] kwenye kampeni alisema hivi " Si mumemsikia vile anasema eti akishinda anataka Kenya iongozwe kama [HASHTAG]#makofuri[/HASHTAG] huko Tz sasa nawauliza ninyi mwataka udikteta?, Hapanaaaaaa! je mwataka aliyekuwa anakula mkate na siagi aanze kula bagia tu? Hapanaaaa! je mwataka hata bunge zenu msizione wakati ninyi ndio bosi wetu?? Hapanaaaa! je nanyi waandishi wetu wazuri mwataka eti muandike anachotaka yeye? Hapanaaa! sasa ndugu zangu huko Tz huyo Makofuri anataka watz waishi kama shetani sasa kweni nanyi mwataka hivyo? Hapanaaa! " Wakenya wakaona huyu Dinga hafai kabisa! naye anajua hivyo hajajichanganya!
 
Mmmhhh weka video au audio ya hayo maneno
 
Umenichanganya kwa mwaka 2005, nini mwalimu hapo kwamaana hakuwepo fafanua
 
Hapana kwakuwa yeye hakupenda usawa alipenda ubwana ndiomaana wazo lake tu kwasehem kubwa ndio likubaliwe ndio inaendelea mpaka sasa
 
Mkuu umetulisha matango pori Msuya hakuondolewa alibaki mpaka tatu (3) bora yeye Kikwete na Mkapa.
 
Hivi hamjiulizi why mchonga aliongea hayo maneno ikiwa ni baada tu ya kutoka safari za nje?
 
Ukitaka habari inoge usimtaje Lowassa ndo utapata wachangiaji wengi sana.

Hapa umekosea ingawa ndo ukweli kuwa Lowassa ndo genge kuu la kulamba nchi hii.
 
Ondoa jina la mzee wetu Mwinyi jatika hii mada, ni utovu wa nidhamu kumuingiza mzee wetu katika hili wakati unajua wazi, Wakati kauli hii inatolewa mzee Mwinyi alikuwa anastaafu!!

Watanzania bado tunamkumbuka na kumheshimu mzee Mwinyi kwa kutuletea demokrasia ya vyama vingi na kutupa uchumi wenye unafuu baada ya sera za kiuchumi zilizofeli za Julius Nyerere.

Mleta mada, mpe heshima yake mzee Ruksa!!
 
Na baada ya kuitoa kauli hiyo ya "CCM haina Dira wala Mwelekeo.." aliitwa akahojiwa na maisha yake yakafikia ukomo akihojiwa, mpaka leo kuna sintofahamu ya kifo chake. RIP HK
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…