Julius Nyerere International Convention Centre iko vizuri

mutagaywa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
891
189
Wakuu nimejaliwa fika hapa kwenye ukumbi wa Mwalimu Nyerere.

Pako vizuri sana, naona kuna vikao vya budget.

Waliojenga wamejitahidi sana.
 
Kwa mimi binafsi siwezi kuamini kama umefika hapo ikiwa hata ka-picha kamoja kamekosekana kusindikiza habari yako.
 
For me its the most quality Conference centre kati ya zile tulizonazo hapa nchini ni hatari sana mle ndani
 
Back
Top Bottom