Julius Nyerere: Democracy, Zanzibar, and African Unity

Hiyo ni kabla hajakengeuka na kuanza siasa za udikteta na ujamaa alizoiga huko china, tulianza vizuri sana 1961-1967, baada ya hapo ni balaa tupu.
 
Huyu Mzee alianza vizuri sana kusema kweli ila sijui nini kilimkumba hapa katikati akavuruga kila kitu kizuri alichokianza yeye mwenyewe.
 
Back
Top Bottom