PreGE2025 Julius Mwita: Tume hii 'mbaya' ilimpa ushindi Lissu ubunge 2010

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,500
Akizungumza kupitia Clouds FM, Julius Mwita aliyekuwa Katibu wa Sekretarieti ya CHADEMA amesema

"Kwenye tume ya uchaguzi mbaya kabisa mwaka 2000, CHADEMA ilipata viti Vinne vya ubunge na majimbo na madiwani 42. Mwaka 2005 tume ilikuwa ya hovyo sana CHADEMA ilipata majimbo matano na madiwani 72. Mwaka 2010 CHADEMA ilipata majimbo 24.

"Na mwaka 2010, Mwenyekiti wetu wa sasa, Tundu Lissu alishinda kwa mara ya kwanza ubunge wa Singida Mashariki ndani ya mfumo huo huo mbaya kabisa, Mwenyekiti wetu akiwa Mbunge wa Jimbo la Singida Mashariki anakwenda kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa chini ya TAMISEMI anashinda vijiji 49 kati ya Vijiji 50 vya Jimbo lake, tume hii mbaya!!"

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

1744096720453.png
 
Akizungumza kupitia Clouds FM, Julius Mwita aliyekuwa Katibu wa Sekretarieti ya CHADEMA amesema

"Kwenye tume ya uchaguzi mbaya kabisa mwaka 2000, CHADEMA ilipata viti Vinne vya ubunge na majimbo na madiwani 42. Mwaka 2005 tume ilikuwa ya hovyo sana CHADEMA ilipata majimbo matano na madiwani 72. Mwaka 2010 CHADEMA ilipata majimbo 24.

"Na mwaka 2010, Mwenyekiti wetu wa sasa, Tundu Lissu alishinda kwa mara ya kwanza ubunge wa Singida Mashariki ndani ya mfumo huo huo mbaya kabisa, Mwenyekiti wetu akiwa Mbunge wa Jimbo la Singida Mashariki anakwenda kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa chini ya TAMISEMI anashinda vijiji 49 kati ya Vijiji 50 vya Jimbo lake, tume hii mbaya!!"

Anaongelea tume za nyakati mbili tofauti?
 
Ndio hii hii tume ilimpatia ubunge mara mbili yule chizi wa machame anaeishi Arusha🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️
 
Ndio ukweli wenyewe

USSR
 
Ina maana huyu kima haoni kama tume haipo sawa?...
Aisee......Rushwa ni mbaya sana..mtu anajitoa ufahamu kutetea upumbavu....
R.I.P JPM...ndio maana uliwatoa mbio hawa malofa..hakika ni watu washenzi sana..
 
Mwita ni mshenzi hajui hata anachozungumza.

Mwaka 2010 ilibidi watu watishie kuharibu ofisi za Serikali ndo Lissu alitangazwa kuwa mbunge.

alAliyekuwa kaimu RPC wa Singida Wankyo Nyegesa alimwambia Msimamizi usipomtangaza Lissu nitaondoa Askari Wananchi wadeal na wewe ndo Lissu alitangazwa kuwa mbunge.
 
Walitangazwa kwa mbide. Halafu kwanini anatumia mfano wa 2010? Kwanini anakwela 2020 na 2024?
ndio hapo sasa

Ila CDM, kuna viongozi wengine hawakustahili kabisa kuwa viongozi.

WanCDM wanauawa, wanapotezwa wakati wa uchaguzi unaona sawa?

Ni Nini kuwa na Wabunge 73 kama wanaCDM wameuliwa??

Ina maand Ubunge ni zaidi ya maisha ya MwanaCDM mwenzako? Fikiria Familia Ndugu zake wanaishije?
 
Huyu asaidiwe, inaonekana uelewa wake mdogo sana.
Hata sasa kwenye huu uchaguzi wa 2025 Kuna majimbo ambayo CDM waliahidiwa kupewa ili wasimsumbue mama na baadhi ya watu CDM akiwemo mwenyekiti aliyetoka walikuwa wameshajipanga kuishi na ruzuku, na hili ndio linaleta shida sasa hivi mpaka kuzuka kitu kinaitwa G55.

CDM ya Lissu bwana Mwita haihitaji majimbo ya kuzawadiwa kuaminisha umma kama Kuna Demokrasia bali CDM ya TL inataka ushindi wa haki pande zote.
 
huyu ni wazi hajawahi kumsikiliza vizuri lissu. Lissu alizungumza hii issue vizuri mno. Kuna nyakati kabla ya 2015 na nyakati baada ya 2015 ambazo ni tofauti kabisa.

Kwa aina ya uchaguzi wa 2019, 2020 na 2024, ana uhakika gani wa CDM kutangazwa washindi hata ikiwa watashinda?
 
Akizungumza kupitia Clouds FM, Julius Mwita aliyekuwa Katibu wa Sekretarieti ya CHADEMA amesema

"Kwenye tume ya uchaguzi mbaya kabisa mwaka 2000, CHADEMA ilipata viti Vinne vya ubunge na majimbo na madiwani 42. Mwaka 2005 tume ilikuwa ya hovyo sana CHADEMA ilipata majimbo matano na madiwani 72. Mwaka 2010 CHADEMA ilipata majimbo 24.

"Na mwaka 2010, Mwenyekiti wetu wa sasa, Tundu Lissu alishinda kwa mara ya kwanza ubunge wa Singida Mashariki ndani ya mfumo huo huo mbaya kabisa, Mwenyekiti wetu akiwa Mbunge wa Jimbo la Singida Mashariki anakwenda kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa chini ya TAMISEMI anashinda vijiji 49 kati ya Vijiji 50 vya Jimbo lake, tume hii mbaya!!"

Kulamba asali ni kubaya sana
 
Anaongelea tume za nyakati mbili tofauti?
Tofauti na hilo anataka kila baada ya miaka 5 ya uchaguzi Chadema iwe inapata wabunge 4, 7, 2 ,1, 0 ilimradi tu wanashiriki uchaguzi? Huyu Mwita vp, Mwita wa wapi huyu? Kwanini hawakumktalilia Mwenyekiti Mbowe na ajenda yake ya No reforms No Elections! au hakuwajui maana ya No reforms, wakajikuta wanaipitisha kwa mbwembwe sasa kaja anaejua maana ya No reforms wamechanganyikiwa?
 
Akizungumza kupitia Clouds FM, Julius Mwita aliyekuwa Katibu wa Sekretarieti ya CHADEMA amesema

"Kwenye tume ya uchaguzi mbaya kabisa mwaka 2000, CHADEMA ilipata viti Vinne vya ubunge na majimbo na madiwani 42. Mwaka 2005 tume ilikuwa ya hovyo sana CHADEMA ilipata majimbo matano na madiwani 72. Mwaka 2010 CHADEMA ilipata majimbo 24.

"Na mwaka 2010, Mwenyekiti wetu wa sasa, Tundu Lissu alishinda kwa mara ya kwanza ubunge wa Singida Mashariki ndani ya mfumo huo huo mbaya kabisa, Mwenyekiti wetu akiwa Mbunge wa Jimbo la Singida Mashariki anakwenda kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa chini ya TAMISEMI anashinda vijiji 49 kati ya Vijiji 50 vya Jimbo lake, tume hii mbaya!!"

Hoja mufilisi kabisa anasema eti wakashiriki uchaguzi atakaeiba uchaguzi nao watamuiba ndio kauli mbiu yao G55? Wanataka watu wakafe tena? Hata ikitokea mmeachiwa majimbo 20 ku justify ushindi wao chama kitanufaika na nini? Hao 20 watasaidia nini lamaana ? Kwanini hatuweki nguvu kuishauri serikali ikubali vipengele vitakavyoleta tume huru kweli ? Kuondoa mzizi wa fitina kwakua siaiemu inajinasibu kukubalika hivyo tunaamini watashinda kwa merits tunapatwa mashaka chama kinachokubalika kuogopa tume huru kuna nini kinaogopwa? Wape watu tume huru wanayotaka nenda kashinde uchaguzi utakua umewakosesha hoja utatawala utakavyo sasa hutaki tume huru unaweka tume huru jina unataka kuteua wanaosimamia uchaguzi halafu tuanimba amani amani amani this is not fair tutawalaumu bure CDM lakini serikali ya sisiemu wako katika position nzuri kuondoa hii lawama kukataa kwao kunaleta mashaka kama hayo mashaka wenye akili timamu hawayaoni basi kuna tatizo sehemu mana sisiemu inajinasibu kua na database ya wanachama zaidi ya 20m sasa wanaogopa nini?🤣🤣🤣Uhakika ni kua wkaijichanganya tu kinawakuta cha FAM asubuhi tu hawataamini kua hawana watu wakutosha kwenye kura sasa tuamue kama tumechagua ulaghai basi tusitumie ghafama za kampeni nauchaguzi kufanyiana kiini macho kwenda kupelekea kugharimu maisha ya watanzania wenzetu haipaswi mtu hata mmoja afe kisa uchaguzi au aumizwe kwanini twende huko namatokeo watu wa akuna nayo?
 
Kukaa kimya wakati fulani naambiwa ni busara/hekima. Huyu kwa vyovyote vile ningemjibu lazima ingeleta makwazo kwenu. Sina jibu kwa sababu hiyo tu. Lakini namshauri kwamba uvumilivu unakikomo. Itafika mahali tutampandilia juu kwa juu.
USITISHE WATU, JIBU ANACHOKIULIZA! HIYO TUME NA SHERIA HZ ZILIKUWA ZMETOKA MAREKANI?
MSIWE MNATISHA WATU, MMEVURUGA CHADEMA KIMBILIO LA WANYONGE...
SINA WASI WASI NA TUNDU LISU..BALI NINA WASI WASI NA MIKAKATI YAKE..
MNASEMA KUJAZA WATU UWANJANI? HYO SIYO HOJA, WAELEZE AJENDA YAKO NI NINI?

SWALI LA KIZUSH: NI NANI ATAKAYETHIBITISHA HIZO REFORMS TUNAZOTAKA KUWA KWA SASA ZIPO SAWA?
 
Back
Top Bottom