Julius Mtatiro uko wapi?

Julius Mtatiro uko wapi?

MKEHA

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2013
Posts
716
Reaction score
1,144
We miss you Julius Mtatiro. Maandiko yako bado ni muhimu sana japo upo jukwaa lingine, uchambuzi wako bado ni muhimu sana Mtatiro kwani una kipaji cha kuchambua na kuueleza ukweli. Bado wewe ni muhimu sana kwa taifa la Tanzani hasa ukizingatia elimu yako ya Master's ni muhimu sana kwa Watanzania wenzako.

Wewe ni mtu wa watu huachi kusema na kuandika kila uonapo sababu ya kufanya hivyo. Andika Mtatiro Tanzania ipone, ongea Mtatiro nchi ifaidike na maandishi yako. Wengine tunakufuatilia mpaka sasa regardless uko wapi kwani kichwa chako ni silaha tosha dhidi ya umaskini, magonjwa, ufisadi na ujinga.

Wewe ni kijana mwenye upeo wa hali ya juu unaye ishi ndoto zako. Ongea kuhusu mazuri na mabaya ya serikali ili nchi ipige hatua. Isimwachie Cyprian Majura Musiba peke yake. Najua kuna kipindi alikutaja kama miongoni mwa maadui wa nchi sijui kama bado anakuchukulia hivyo hivyo hata baada ya kuhamia CCM ama tayari mna compromise lakini andika ukweli wa mambo nchi ipone.

Nakutakia kila la kheri huko uliko Mtatiro
 
Huyo ni kama Ng'ombe aliyekatwa mkia, kajishauashaua kidogo pale mwanzoni, kakosa uteuzi, sasa kimyaaaaaaa!
 
Katika watu ambao sikuwahi kudhani ni wachumia tumbo ni Mtatiro, nilijua heshima aliyopewa CUF ni kubwa na labda yeye ndiye angekuwa mrithi wa akina Lipumba na maalim Seif huko badae. Zitto peke yake ndio namuona atafia upinzani wengine siwaamini sana,.
 
Ametumwa kuhakiki koroshow huku kusini kama ni za ndani ya nchi au zimezamia
 
Back
Top Bottom